ZANTEL YATOA MSAADA WA CHAKULA KWA WAZEE ZANZIBAR

ZANTEL YATOA MSAADA WA CHAKULA KWA WAZEE ZANZIBAR - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ZANTEL YATOA MSAADA WA CHAKULA KWA WAZEE ZANZIBAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ZANTEL YATOA MSAADA WA CHAKULA KWA WAZEE ZANZIBAR
kiungo : ZANTEL YATOA MSAADA WA CHAKULA KWA WAZEE ZANZIBAR

soma pia


ZANTEL YATOA MSAADA WA CHAKULA KWA WAZEE ZANZIBAR

 Baadhi ya wazee waliohudhuria katika hafla hiyo wakifuatilia matukio.
Mmoja wa wazee akipokea msaada wa chakula kutoka kwa mkuu wa Zantel Zanzibar,Mohammed Khamis Mussa (Baucha)
Baadhi ya wazee waliopokea msaada katika picha ya pamoja na Mkuu wa Zantel Zanzibar na viongozi wa serikali na Chama Cha Wazee wa Zanzibar 
Na Mwandshi Wetu.

Katika kusheherekea siku kuu ya Eid, kampuni ya mawasiliano ya Zantel, imetoa msaada wa chakula chenye thamani ya shilingi milioni nane katika kituo cha kutunza wazee cha ‘Amani Sebuleni kwa Wazee’ kilichopo Zanzibar.Msaada huo ni mwendelezo wa sera ya kampuni ya Zantel ya kusaidia shughuli za kijamii.

Msaada huo umetolewa katika kipindi hiki cha msimu wa sikuu ya Eid, kinadhihirisha kuwa Zantel inajali makundi mbalimbali yenye mahitaji kwenye jamii inakofanyia biashara zake. Msaada uliotolewa kwa wazee ni mchele, mafuta ya kupikia,sukari na unga,mbali na msaada huo wafanyakazi wa Zantel walijitoa kusafisha maeneo yanayozunguka kituo hicho cha kutunza wazee.

Akiongea wakati wa hafla ya kukabidhi msaada huo.Afisa Mtendaji Mkuu wa Zantel Zanzibar, Mohammed Khamis Mussa (Baucha) alisema “Wakati huu tunaposheherekea sikukuu ya Eid Al Hajj, tunapenda jamii yetu kujisikia kuwa Zantel inawajali watu wote,bila kusahau makundi yenye mahitaji kama wazee, ndio maana tumeamua kutoa msaada wetu katika kituo cha kutunza wazee na kujitoa muda wetu kusafisha maeneo mbalimbali ya kituo hiki”.

Mussa aliongeza kusema kuwa Zantel imekuwa ikisaidia miradi mbalimbali ya kusaidia jamii kama vile ya wakulima na wanafunzi lakini katika msimu wa sikukuu hii ya Eid Al Hajj, imetoa msaada kwa wazee ili nao waisherekee kwa furaha.”Mbali na kutoa msaada wa chakula kwa wazee wa Pemba na Unguja wafanyakazi wameshiriki kufanya usafi maeneo ya kituo cha Sebuleni kuonyesha kuwa wanawajali wazee hao na afya zao kwa kuhakikisha wanaishi katika mazingira safi” alisisitiza.


Hivyo makala ZANTEL YATOA MSAADA WA CHAKULA KWA WAZEE ZANZIBAR

yaani makala yote ZANTEL YATOA MSAADA WA CHAKULA KWA WAZEE ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ZANTEL YATOA MSAADA WA CHAKULA KWA WAZEE ZANZIBAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/zantel-yatoa-msaada-wa-chakula-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "ZANTEL YATOA MSAADA WA CHAKULA KWA WAZEE ZANZIBAR"

Post a Comment