WATENDAJI WAKUU MAMBO YA NDANI YA NCHI WAENDELEA NA KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE YA KUDUMU JIJINI DODOMA

WATENDAJI WAKUU MAMBO YA NDANI YA NCHI WAENDELEA NA KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE YA KUDUMU JIJINI DODOMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WATENDAJI WAKUU MAMBO YA NDANI YA NCHI WAENDELEA NA KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE YA KUDUMU JIJINI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WATENDAJI WAKUU MAMBO YA NDANI YA NCHI WAENDELEA NA KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE YA KUDUMU JIJINI DODOMA
kiungo : WATENDAJI WAKUU MAMBO YA NDANI YA NCHI WAENDELEA NA KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE YA KUDUMU JIJINI DODOMA

soma pia


WATENDAJI WAKUU MAMBO YA NDANI YA NCHI WAENDELEA NA KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE YA KUDUMU JIJINI DODOMA



Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali, Jacob Kingu (katikati), akimfafanulia jambo Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Dkt. Arnold Kihaule, wakati walipokua wanatoka katika kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, kilichofanyika Bungeni, jijini Dodoma leo. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Ramadhan Kailima.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali, Jacob Kingu (kulia), akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Dkt. Arnold Kihaule, wakati walipokua wanatoka katika kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, kilichofanyika Bungeni, jijini Dodoma leo.
Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Sheria, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Marlin Komba (kulia) wakifurahia jambo na Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa Wizara hiyo, Wanja Mtawazo, wakati walipokua wanatoka katika kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, kilichofanyika Bungeni, jijini Dodoma leo. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.


Hivyo makala WATENDAJI WAKUU MAMBO YA NDANI YA NCHI WAENDELEA NA KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE YA KUDUMU JIJINI DODOMA

yaani makala yote WATENDAJI WAKUU MAMBO YA NDANI YA NCHI WAENDELEA NA KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE YA KUDUMU JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WATENDAJI WAKUU MAMBO YA NDANI YA NCHI WAENDELEA NA KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE YA KUDUMU JIJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/watendaji-wakuu-mambo-ya-ndani-ya-nchi_25.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WATENDAJI WAKUU MAMBO YA NDANI YA NCHI WAENDELEA NA KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE YA KUDUMU JIJINI DODOMA"

Post a Comment