title : Wafanyakazi wa Kampuni ya Simu ya Zantel Wakijumuika Katika Kufanya Usafi Katika Soko Kuu la Tanga.
kiungo : Wafanyakazi wa Kampuni ya Simu ya Zantel Wakijumuika Katika Kufanya Usafi Katika Soko Kuu la Tanga.
Wafanyakazi wa Kampuni ya Simu ya Zantel Wakijumuika Katika Kufanya Usafi Katika Soko Kuu la Tanga.
Wafanyakazi wa kampuni ya mawasiliano ya Zantel wakifanya usafi soko la Mgandini jijini Tanga, kama sehemu ya huduma zao kwa jamii. Wafanyakazi wa Zantel walikuwa jijini Tanga kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni yake mpya maalum kwa mikoa ya Pwani, ijulikanayo kama BAO. Baada ya Usafi, Zantel ilikabidhi vifaa vya kufanyia usafi kwa uongozi wa soko la Mgandini ili viendelee kusaidia kuweka mazingira ya soko hilo katika hali ya usafi.
Wafanyakazi wa kampuni ya mawasiliano ya Zantel wakifanya usafi soko la Mgandini jijini Tanga, kama sehemu ya huduma zao kwa jamii.
Wafanyakazi wa kampuni ya mawasiliano ya Zantel wakikabidhi vifaa vya kufanyia usafi kwa uongozi wa soko la Mgandini ili viendelee kusaidia kuweka mazingira ya soko hilo katika hali ya usafi.
Hivyo makala Wafanyakazi wa Kampuni ya Simu ya Zantel Wakijumuika Katika Kufanya Usafi Katika Soko Kuu la Tanga.
yaani makala yote Wafanyakazi wa Kampuni ya Simu ya Zantel Wakijumuika Katika Kufanya Usafi Katika Soko Kuu la Tanga. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Wafanyakazi wa Kampuni ya Simu ya Zantel Wakijumuika Katika Kufanya Usafi Katika Soko Kuu la Tanga. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/wafanyakazi-wa-kampuni-ya-simu-ya.html
0 Response to "Wafanyakazi wa Kampuni ya Simu ya Zantel Wakijumuika Katika Kufanya Usafi Katika Soko Kuu la Tanga."
Post a Comment