UTALII WA NDANI WASHAMIRI KISIWA CHA SAANANE, MWANZA

UTALII WA NDANI WASHAMIRI KISIWA CHA SAANANE, MWANZA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UTALII WA NDANI WASHAMIRI KISIWA CHA SAANANE, MWANZA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UTALII WA NDANI WASHAMIRI KISIWA CHA SAANANE, MWANZA
kiungo : UTALII WA NDANI WASHAMIRI KISIWA CHA SAANANE, MWANZA

soma pia


UTALII WA NDANI WASHAMIRI KISIWA CHA SAANANE, MWANZA

Na Mandia Zephania, Mwanza
Watanzania wametakiwa kutambua umuhimu wa utalii wa ndani kwa kujenga desturi ya kutembelea vivutio vya utalii vilivyopo nchini ili kuongeza uelewa wa maswala mbalimbali pamoja na kujionea vivutio mbalmbali katika hifadhi hizo.
Mhifadhi mkuu wa hifadhi hiyo BEATRICE KESSY amesema hifadhi hiyo imelenga kuongeza idadi ya watalii wanaotembelea hifadhi hiyo kutoka elfu kumi kwa mwaka hadi kufikia elfu kumi na tatu kwa mwaka kupitia kampeni ya GUDUA HAZINA ZA UTALII MWANZA inayohamasisha wanafunzi kutembelea hifadhi hiyo.

Hifadhi ya taifa ya saa nane ni hifadhi pekee iliyopo katikati ya jiji la Mwanza ikiwa ni hifadhi pekee iliyopo katikati ya jiji yenye vivutio mbalimbali ikiwemo wanyama  na manthari ya kuvutia.
Mhifadhi mkuu wa hifadhi hiyo BEATRICE KESSY amesema kuanzishwa kwa kampeni ya GUDUA HAZINA ZA UTALII MWANZA, imejikita kuhamasisha utalii wa ndani pamoja na kuongeza idadi ya watalii katika hifadhi hiyo.

GLORIA MWIHAMBO msimamizi wa bodi ya utalii kanda ya ziwa (TTB),amesema ukilinganisha na miaka iliyopita watanzania wamepata muamko wa  kutembelea hifadhi mbalimbali nchini.
Watalii kutoka hao kutoka vyuo mbalimbali vya mkoa wa Mwanza wamesema imekuwa fursa kwa wao kuongeza uelewa katika masomo yao pamoja na kufurahi vivutio mbalimbali katika hifadhi hiyo.

Hifadhi hiyo iliyopo chini ya Shirika la Hifadhi za Taifa nchini (TANAPA) limeanzisha kampeni hiyo itakayodumu kwa siku tatu ambapo pamoja na kutembelea hifadhi hiyo wanafunzi hao watashiriki michezo mbalimbali pamoja na kutoa zawadi kwa mwanafunzi  atakaye  tangaza hifadhi hiyo vyema kupitia mitandao ya kijamii.
MWISHO






Hivyo makala UTALII WA NDANI WASHAMIRI KISIWA CHA SAANANE, MWANZA

yaani makala yote UTALII WA NDANI WASHAMIRI KISIWA CHA SAANANE, MWANZA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UTALII WA NDANI WASHAMIRI KISIWA CHA SAANANE, MWANZA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/utalii-wa-ndani-washamiri-kisiwa-cha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UTALII WA NDANI WASHAMIRI KISIWA CHA SAANANE, MWANZA"

Post a Comment