HATUA KALI ZA KISHERIA ZICHUKULIWE KWA VIWANDA NA MIGODI INAYOFANYA SHUGHULI ZAKE ZA UZALISHAJI KWA KUHARIBU MAZINGIRA-MAKAMU WA RAIS.

HATUA KALI ZA KISHERIA ZICHUKULIWE KWA VIWANDA NA MIGODI INAYOFANYA SHUGHULI ZAKE ZA UZALISHAJI KWA KUHARIBU MAZINGIRA-MAKAMU WA RAIS. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa HATUA KALI ZA KISHERIA ZICHUKULIWE KWA VIWANDA NA MIGODI INAYOFANYA SHUGHULI ZAKE ZA UZALISHAJI KWA KUHARIBU MAZINGIRA-MAKAMU WA RAIS., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : HATUA KALI ZA KISHERIA ZICHUKULIWE KWA VIWANDA NA MIGODI INAYOFANYA SHUGHULI ZAKE ZA UZALISHAJI KWA KUHARIBU MAZINGIRA-MAKAMU WA RAIS.
kiungo : HATUA KALI ZA KISHERIA ZICHUKULIWE KWA VIWANDA NA MIGODI INAYOFANYA SHUGHULI ZAKE ZA UZALISHAJI KWA KUHARIBU MAZINGIRA-MAKAMU WA RAIS.

soma pia


HATUA KALI ZA KISHERIA ZICHUKULIWE KWA VIWANDA NA MIGODI INAYOFANYA SHUGHULI ZAKE ZA UZALISHAJI KWA KUHARIBU MAZINGIRA-MAKAMU WA RAIS.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ameagiza kuchukuliwa kwa hatua kali za kisheria kwa viwanda na migodi ambayo inafanya shughuli zake za uzalishaji kwa kuharibu mazingira ikiwemo utitirishaji wa kemikali kwa wananchi kwani kufanya hivyo kunahatarisha usalama wa wananchi na viumbe hai wengine.

Makamu Rais Mhe Samia Suluhu Hassan ametoa agizo hilo tarehe 4-Jun-2017 kijijini Butiama mkoani Mara wakati anahutubia wananchi katika kilele cha siku ya mazingira Duniani.

Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan amesema uharibifu wa mazingira ukiachiwa uendee nchini ni hatari kwa usalama wa maisha na viumbe hivyo ni muhimu kwa viongozi katika ngazi zote kuchukua hatua zitakazosaidia kukabiliana na vitendo hivyo kote nchini.

Makamu wa Rais amesisitiza kuwa umefika wakati kwa viongozi kwa ushirikiano na jamii kuhakikisha wanaweka mikakati ya kuokoa mifumo ya ikolojia, uhifadhi wa bioanuai, kudhibiti uchomaji miti kiholela ili kurejesha uoto wa asili ambao umeharibiwa na shughuli mbalimbali za kibinadamu katika maeneo mengi nchini.

“Kutozingatia hifadhi ya mazingira kunaweza kusababisha kuparaganyika kwa mfumo huo na kufanya maisha yetu na ya vizazi vijavyo kuwa mashakani”. Amesisitiza Makamu wa Rais.

Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan amesema katika kuadhimisha siku ya mazingira Dunia viongozi wanapaswa kuchukua hatua za kuelimisha wananchi na kuwahamasisha ili kila mtu ashiriki katika juhudi za kuwa na uchumi unaozingatia hifadhi ya mazingira.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka shda la maua kwenye Mnara wa kumbukumbu ya ajali ya ndege ya kivita iliyotokea mwaka 1978 kwenye Msitu wa Muhunda ,wilayani Butiama mkoani Mara. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akutana na Mama Maria Nyerere nyumbani kwa Mama Maria Butiama leo mara baada ya kuhutubia kwenye kilele cha siku ya mazingira Duniani.#Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipanda mti kwenye Msitu wa asili ulioasisiwa na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwenye kilele cha siku ya mazingira duniani ambapo kitaifa imeadhimishwa Butiama. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimwagia maji mti alioupanda kwenye Msitu wa asili ulioasisiwa na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwenye kilele cha siku ya mazingira duniani ambapo kitaifa meadhimishwa Butiama. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan akiwahutubia Wananchi kijijini Butiama mkoani Mara wakati wa kilele cha siku ya mazingira Duniani.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia kiatu cha kusaidia walemavu wakati alipotembelea banda la Kituo cha Walemavu cha Ziwa Victoria (Lake Victoria Disability Centre) kinachoshughulika na kutengeneza viungo bandia kwa watu wenye ulemavu kabla ya kuhutubia kwenye kilele cha siku ya mazingira duniani ambapo kilele chake kimefanyika kwenye viwanja vya Mwenge,Butiama
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia namna samaki anaweza kufugwa vizuri bila kuharibu mazingira na kuleta manufaa kabla ya kuhutubia kwenye kilele cha siku ya mazingira duniani ambapo kilele chake kimefanyika kwenye viwanja vya Mwenge,Butiama.




Hivyo makala HATUA KALI ZA KISHERIA ZICHUKULIWE KWA VIWANDA NA MIGODI INAYOFANYA SHUGHULI ZAKE ZA UZALISHAJI KWA KUHARIBU MAZINGIRA-MAKAMU WA RAIS.

yaani makala yote HATUA KALI ZA KISHERIA ZICHUKULIWE KWA VIWANDA NA MIGODI INAYOFANYA SHUGHULI ZAKE ZA UZALISHAJI KWA KUHARIBU MAZINGIRA-MAKAMU WA RAIS. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala HATUA KALI ZA KISHERIA ZICHUKULIWE KWA VIWANDA NA MIGODI INAYOFANYA SHUGHULI ZAKE ZA UZALISHAJI KWA KUHARIBU MAZINGIRA-MAKAMU WA RAIS. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/hatua-kali-za-kisheria-zichukuliwe-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "HATUA KALI ZA KISHERIA ZICHUKULIWE KWA VIWANDA NA MIGODI INAYOFANYA SHUGHULI ZAKE ZA UZALISHAJI KWA KUHARIBU MAZINGIRA-MAKAMU WA RAIS."

Post a Comment