title : UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA LIWALE NA KATA 37 ZA TANZANIA BARA WAFANYIKA LEO
kiungo : UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA LIWALE NA KATA 37 ZA TANZANIA BARA WAFANYIKA LEO
UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA LIWALE NA KATA 37 ZA TANZANIA BARA WAFANYIKA LEO
Wananchi wa jimbo la Liwale wamepongezwa kwa kujitokeza kwa wingi na mapema kwenda kupiga kura kuwachagua viongozi wanaowataka,
Hayo yameelezwa na Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Balozi Ramadhani Mapuli akiwa anafuatili uchaguzi mdogo katika Jimbo la Liwale.
Balozi Mapuli amesema kwamba, ameridhishwa na utaratibu wa upigaji wa kura ikiwa ni pamoja na vituo kufunguliwa kwa wakati na hakuna malalamiko yoyote yaliyojitokeza katika hatua za awali.
Amewasihi wakazi wa Jimbo hilo kuendelea kujitokeza kwa wingi na kupiga kura katika hali ya amani na utulivu.
Kwa mujibu wa Mkurugezi wa uchaguziJimbo la Liwale Luiza Mlelwa amesema kuwa Jimbo hilo lina wapiga kura 55,777 na Vituo vya kupigia kura 158.
Hivyo makala UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA LIWALE NA KATA 37 ZA TANZANIA BARA WAFANYIKA LEO
yaani makala yote UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA LIWALE NA KATA 37 ZA TANZANIA BARA WAFANYIKA LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA LIWALE NA KATA 37 ZA TANZANIA BARA WAFANYIKA LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/uchaguzi-mdogo-jimbo-la-liwale-na-kata.html
0 Response to "UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA LIWALE NA KATA 37 ZA TANZANIA BARA WAFANYIKA LEO"
Post a Comment