TMA YATABILI MVUA KATIKA MIKOA YA PWANI, KUANZA KUNYESHA NOVEMBA 23

TMA YATABILI MVUA KATIKA MIKOA YA PWANI, KUANZA KUNYESHA NOVEMBA 23 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TMA YATABILI MVUA KATIKA MIKOA YA PWANI, KUANZA KUNYESHA NOVEMBA 23, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TMA YATABILI MVUA KATIKA MIKOA YA PWANI, KUANZA KUNYESHA NOVEMBA 23
kiungo : TMA YATABILI MVUA KATIKA MIKOA YA PWANI, KUANZA KUNYESHA NOVEMBA 23

soma pia


TMA YATABILI MVUA KATIKA MIKOA YA PWANI, KUANZA KUNYESHA NOVEMBA 23

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii.
MAMLAKA ya hali ya Hewa nchini,( TMA) imesema mvua katika Mikoa ya Pwani ikiwemo Dar es Salaam zinatarajiwa kuanza Novemba 23 mwaka huu.

Pia TMA imetoa utabiri wa msimu wa mvua wa kuanzia mwezi Novemba 2018 hadi Aprili 2019 kwa mikoa inayopata mvua Mara moja kwa mwaka ambazo zinatarajiwa kuwa za juu ya wasatani na wastani.

Akizunguza wakati akitoa utabiri huo, jijini Dar es Salaam Leo Oktoba 18. 2018, Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Agnes Kijazi amesema, mvua zinatarajiwa kuwa za juu ya wastani hadi wastani katika maeneo mengi ya mikoa ya Dodoma, Singida, Tabora, Mbeya, Njombe, Iringa, Ruvuma, Kisini mwa mkoa wa Morogoro, Lindi na Mtwara. Huku maeneo ya mikoa ya Kigoma, Katavi, Rukwa na Songea yakitarajiwa kuata mvua za wastani hadi juu ya wastani.

"Kutokana na mifumo ya Hali ya hewa inayotarajiwa, mvua za wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi yanayopata msimu mmoja wa mvua kwa mwaka, maeneo yaliyosalia ya mikoa ya Kigoma, Katavi, Rukwa na Songwe yanatarajiwa kupata mvua za wastani hadi juu ya wastani.

Amesema, mvua za msimu ni mahususi kwa maeneo ya magharibi mwa nchi, kanda ya kati, nyanda za juu kusini magharibi, kusini mwa nchi, ukanda wa pwani ya kusini pamoja na maeneo ya kusini mwa mkoa wa Morogoro ambayo yanayopata msimu mmoja wa mvua kwa mwaka.

Aidha Kijazi amezitaka sekta mbali mbali zinazotumia taarifa ya hali ya hewa katika kutekeleza majukumu yao kama vile, kilimo na usalama wa chakula, Afya, Mifugo na Wanyamapori, Maliasili na Utalii, uchukuzi na Mawasiliano, Nishati, Maji na nyingi zo kuchukua taathari kufuatia mvua hizo nyingi kwani inaweza kusababisha madhara mengi katika Jamii nzima.

 Kwani matukio ya vipindi vifupi vya mvua kubwa yanaweza kupelekea maji kutuama na kusababisha mafuriko.
 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya hali ya Hewa nchini( TMA) Agnes Kijazi akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu mvua katika Mikoa ya Pwani ikiwemo Dar es Salaam zinatarajiwa kuanza Novemba 23 mwaka huu.
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya hali ya Hewa nchini( TMA) Agnes Kijazi  jijini Dar es Salaam leo kuhusu mvua katika Mikoa ya Pwani ikiwemo Dar es Salaam zinatarajiwa kuanza Novemba 23 mwaka huu.


Hivyo makala TMA YATABILI MVUA KATIKA MIKOA YA PWANI, KUANZA KUNYESHA NOVEMBA 23

yaani makala yote TMA YATABILI MVUA KATIKA MIKOA YA PWANI, KUANZA KUNYESHA NOVEMBA 23 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TMA YATABILI MVUA KATIKA MIKOA YA PWANI, KUANZA KUNYESHA NOVEMBA 23 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/tma-yatabili-mvua-katika-mikoa-ya-pwani.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TMA YATABILI MVUA KATIKA MIKOA YA PWANI, KUANZA KUNYESHA NOVEMBA 23"

Post a Comment