SHUBASH PATEL ATOA MABATI 1,000 KUIMARISHA SEKTA YA ELIMU PWANI

SHUBASH PATEL ATOA MABATI 1,000 KUIMARISHA SEKTA YA ELIMU PWANI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SHUBASH PATEL ATOA MABATI 1,000 KUIMARISHA SEKTA YA ELIMU PWANI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SHUBASH PATEL ATOA MABATI 1,000 KUIMARISHA SEKTA YA ELIMU PWANI
kiungo : SHUBASH PATEL ATOA MABATI 1,000 KUIMARISHA SEKTA YA ELIMU PWANI

soma pia


SHUBASH PATEL ATOA MABATI 1,000 KUIMARISHA SEKTA YA ELIMU PWANI


NA MWAMVUA MWINYI,PWANI 

SEKTA ya elimu mkoani Pwani, inakabiliwa na changamoto ya upungufu wa vyumba vya madarasa 3,678 katika shule za msingi pamoja na nyumba za walimu 5,188.


Kufuatia changamoto hiyo ,kampuni ya Sayona fruits ,iliyopo Mboga huko Chalinze imetoa mabati 1,000 yenye thamani ya sh.mil 24 ,kwa ajili ya umaliziaji wa majengo mbalimbali ya shule za msingi mkoani humo .

Akipokea mabati hayo ,kutoka kwa mkuu wa kitengo cha mahusiano cha kampuni hiyo ,Abubakar Mlawa , mkuu wa mkoa wa mkoa huo mhandisi Evarist Ndikilo alisema ,wanakabiliana na changamoto hizo kwa kushirikiana na halmashauri,jamii na wadau wa elimu . “Miundombinu ya shule za sekondari na hasa shule za msingi bado kuna upungufu ,ambapo mkoa una jumla ya shule za msingi 613 huku za serikali zikiwa ni 562 na 51 ni za watu binafsi “

“Shule za msingi pekee mahitaji ya vyumba vya madarasa ni 700,671, yaliyopo 3,993 na upungufu ni vyumba vya madarasa 3,678 ” alifafanua Ndikilo. Ndikilo alitaja pia tatizo la nyumba za walimu ili waweze kuishi vizuri hivyo kuna mahitaji ya nyumba hizo 6,779 . Alisema ,nyumba zilizopo ni 1,591 na upungufu ni nyumba za walimu 5,188.

Akipokea msaada wa mabati , mkuu wa mkoa wa mkoa wa Pwani mhandisi Evarist Ndikilo (kushoto )kutoka kwa mkuu wa kitengo cha mahusiano cha kampuni ya Sayona fruits iliyopo Mboga Chalinze ,Abubakar Mlawa (kulia) ,msaada ambayo umeelekezwa kuimarisha sekta ya elimu .( picha na Mwamvua Mwinyi ).



Hivyo makala SHUBASH PATEL ATOA MABATI 1,000 KUIMARISHA SEKTA YA ELIMU PWANI

yaani makala yote SHUBASH PATEL ATOA MABATI 1,000 KUIMARISHA SEKTA YA ELIMU PWANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SHUBASH PATEL ATOA MABATI 1,000 KUIMARISHA SEKTA YA ELIMU PWANI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/shubash-patel-atoa-mabati-1000.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "SHUBASH PATEL ATOA MABATI 1,000 KUIMARISHA SEKTA YA ELIMU PWANI"

Post a Comment