Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Akikagua Ujenzi wa Skuli ya Sekondari ya Ueleni Pemba.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Akikagua Ujenzi wa Skuli ya Sekondari ya Ueleni Pemba. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Akikagua Ujenzi wa Skuli ya Sekondari ya Ueleni Pemba., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Akikagua Ujenzi wa Skuli ya Sekondari ya Ueleni Pemba.
kiungo : Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Akikagua Ujenzi wa Skuli ya Sekondari ya Ueleni Pemba.

soma pia


Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Akikagua Ujenzi wa Skuli ya Sekondari ya Ueleni Pemba.

Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Sekondari ya Uweleni Mkoani Pemba, Maalimi Shehe Hassan Mohammed, akisoma risala ya ujenzi waskuli hiyo mbele ya Balozi Makamo wa pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi,alipokuwa na ziara ya kutembelea Skuli hiyo.
Waziri wa Elimu na Mfunzo ya Amali Zanzibar, Riziki Pembe Juma,akitowa maelezo mafupi kwa balozi Seif Ali Iddi, na kumkaribisha katika Skuli ya Sekondari Uweleni kwa ajili ya kukaguwa maendeleo ya ujenzi wa jengo la Skuli ya Ghorofa na kuzungunza na  Walimu na Wazazi na wanafunzi wa Skuli hiyo.
Makamo wa pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, akizungumza na Walimu, Wazazi  na Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Uweleni mara baada ya kufanya ziara ya kuangalia maendeleo ya Skuli hiyo.(Picha na Habiba Zarali - Pemba)


Hivyo makala Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Akikagua Ujenzi wa Skuli ya Sekondari ya Ueleni Pemba.

yaani makala yote Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Akikagua Ujenzi wa Skuli ya Sekondari ya Ueleni Pemba. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Akikagua Ujenzi wa Skuli ya Sekondari ya Ueleni Pemba. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/makamu-wa-pili-wa-rais-wa-zanzibar.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Akikagua Ujenzi wa Skuli ya Sekondari ya Ueleni Pemba."

Post a Comment