title : Waziri wa Habari , Utalii na mambo ya kale akutana na Wafanyakazi wa Shirika la Utangazaji ZBC
kiungo : Waziri wa Habari , Utalii na mambo ya kale akutana na Wafanyakazi wa Shirika la Utangazaji ZBC
Waziri wa Habari , Utalii na mambo ya kale akutana na Wafanyakazi wa Shirika la Utangazaji ZBC
WAZIRI wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo akizungumza na Wafanyakazi wa Shirika la Utangazaji Zanzibar ZBC alipowatembelea katika ukumbi wa Wasanii uliopo Rahaleo Mjini Zanzibar.
MKURUGENZI Shirika la Utangazaji Zanzibar ZBC Aiman Duwe akizungumza machache na kumkaribisha Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo ili kuzungumza na Wafanyakazi wa ZBC katika ukumbi wa Wasanii uliopo Rahaleo Mjini Zanzibar.
BAADHI ya Wafanyakazi wa wa Shirika la Utangazaji Zanzibar ZBC wakimsikiliza Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo alipowatembelea katika ukumbi wa Wasanii uliopo Rahaleo Mjini Zanzibar.
MTANGAZAJI wa Shirika la Utangazaji Zanzibar ZBC Redio Shekh Said Suleiman akitoa ushauri na changamoto juu ya ugumu wa kuandaa Vipindi vya Dini.
MTANGAZAJI wa Shirika la Utangazaji Zanzibar ZBC TV Msangu Said akizungumzia changamoto na mafanikio katika majukumu ya kazi zao za kila siku (Picha na Abdalla Omar Maelezo – Zanzibar).
Hivyo makala Waziri wa Habari , Utalii na mambo ya kale akutana na Wafanyakazi wa Shirika la Utangazaji ZBC
yaani makala yote Waziri wa Habari , Utalii na mambo ya kale akutana na Wafanyakazi wa Shirika la Utangazaji ZBC Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Waziri wa Habari , Utalii na mambo ya kale akutana na Wafanyakazi wa Shirika la Utangazaji ZBC mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/waziri-wa-habari-utalii-na-mambo-ya_31.html
0 Response to "Waziri wa Habari , Utalii na mambo ya kale akutana na Wafanyakazi wa Shirika la Utangazaji ZBC"
Post a Comment