title : RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU MWAKA HUU WA 2018 IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
kiungo : RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU MWAKA HUU WA 2018 IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU MWAKA HUU WA 2018 IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea taarifa kutoka kwa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mhe. Jenista Mhagama walioongozana na wakimbiza Mwenge wa Uhuru mwaka huu wa 2018 alipokutana na kufanya nao mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 15, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mhe. Jenista Mhagama pamoja na wakimbiza Mwenge wa Uhuru mwaka huu wa 2018 alipokutana na kufanya nao mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 15, 2018
PICHA NA IKULU
Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU MWAKA HUU WA 2018 IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU MWAKA HUU WA 2018 IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU MWAKA HUU WA 2018 IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/rais-dkt-magufuli-akutana-na-wakimbiza_15.html
0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU MWAKA HUU WA 2018 IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO"
Post a Comment