title : WAFANYAKAZI WA SHIRIKA LA AFYA DUNIANI (WHO) OFISI ZA TANZANIA WATEMBELEA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE
kiungo : WAFANYAKAZI WA SHIRIKA LA AFYA DUNIANI (WHO) OFISI ZA TANZANIA WATEMBELEA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE
WAFANYAKAZI WA SHIRIKA LA AFYA DUNIANI (WHO) OFISI ZA TANZANIA WATEMBELEA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE
Picha no. 1 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akiwa katika mkutano na wafanyakazi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ofisi za Tanzania ambao walimtembelea ofisini kwake kwa ajili ya kuingia makubaliano ili wafanyakazi wa shirika hilo waanze kutibiwa katika Taasisi hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ofisi za Tanzania walipomtembelea leo ofisini kwake kwa ajili ya kuingia makubaliano ili wafanyakazi wa shirika hilo waanze kutibiwa katika Taasisi hiyo.Picha na JKCI
Hivyo makala WAFANYAKAZI WA SHIRIKA LA AFYA DUNIANI (WHO) OFISI ZA TANZANIA WATEMBELEA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE
yaani makala yote WAFANYAKAZI WA SHIRIKA LA AFYA DUNIANI (WHO) OFISI ZA TANZANIA WATEMBELEA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAFANYAKAZI WA SHIRIKA LA AFYA DUNIANI (WHO) OFISI ZA TANZANIA WATEMBELEA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/wafanyakazi-wa-shirika-la-afya-duniani.html
0 Response to "WAFANYAKAZI WA SHIRIKA LA AFYA DUNIANI (WHO) OFISI ZA TANZANIA WATEMBELEA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE"
Post a Comment