NFRA YAENDELEA KUSISITIZA UBORA WA MAZAO KUTOKA KWA WAKULIMA

NFRA YAENDELEA KUSISITIZA UBORA WA MAZAO KUTOKA KWA WAKULIMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NFRA YAENDELEA KUSISITIZA UBORA WA MAZAO KUTOKA KWA WAKULIMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NFRA YAENDELEA KUSISITIZA UBORA WA MAZAO KUTOKA KWA WAKULIMA
kiungo : NFRA YAENDELEA KUSISITIZA UBORA WA MAZAO KUTOKA KWA WAKULIMA

soma pia


NFRA YAENDELEA KUSISITIZA UBORA WA MAZAO KUTOKA KWA WAKULIMA


Na Mathias Canal, NFRA

Zoezi la kununua nafaka ya mahindi kwa ajili ya akiba ya Taifa ya Chakula unaendelea katika maeneo mbalimbali kote nchini ambapo wakulima kwa kiasi kikubwa wameitikia wito uliotolewa na Wakala wa Taifa wa hifadhi ya chakula (NFRA) wa kutonunua mahindi yasiyokuwa na ubora.

Pamoja na Ubora wa mahindi kuwa changamoto katika maeneo mengi nchini kutokana na hali ya msimu wa mwaka Jana kuwa na jua Kali na mvua za msimu jambo lilolopelekea Mazao kuharibika yakiwa shambani.

Katika hatua nyingine Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) Bi Vumilia L. zikankuba ameendelea na ziara ya kikazi ya kutembelea vituo mbalimbali vya ununuzi ambapo hivi tarehe 1 Octoba 2018 alitembelea kituo cha ununuzi cha Kigonsela kilichopo Mkoani Ruvuma kukagua mwenendo wa zoezi la ununuzi katika kituo hicho.

Katika ziara hiyo ya Mtendaji Mkuu wa NFRA mkoani Ruvuma, Meneja wa Kanda ya Songea Ndg Amos Mtafya alieleza kuwa Kanda ya Songea pekee imepangiwa kununua jumla ya tani 7, 000 kwa awamu ya kwanza ya ununuzi na hadi kufikia leo tarehe 1 Oktoba 2018 Kanda hiyo imeshanunua zaidi ya tani 6000. 
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) Bi Vumilia L. Zikankuba akikagua mahindi wakati wa ununuzi katika kituo cha ununuzi cha Kigonsela kilichopo Mkoani Ruvuma 
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) Bi Vumilia L. zikankuba akisisitiza jambo mara baada ya kutembelea kituo cha ununuzi cha Kigonsela kilichopo Mkoani Ruvuma. 
Afisa ubora wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) Ndg Masanja akikagua mahindi kwenye kituo cha ununuzi cha Kigonsela kilichopo Mkoani Ruvuma.



Hivyo makala NFRA YAENDELEA KUSISITIZA UBORA WA MAZAO KUTOKA KWA WAKULIMA

yaani makala yote NFRA YAENDELEA KUSISITIZA UBORA WA MAZAO KUTOKA KWA WAKULIMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NFRA YAENDELEA KUSISITIZA UBORA WA MAZAO KUTOKA KWA WAKULIMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/nfra-yaendelea-kusisitiza-ubora-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "NFRA YAENDELEA KUSISITIZA UBORA WA MAZAO KUTOKA KWA WAKULIMA"

Post a Comment