NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI WA KAMATI YA CPPCC YA CHINA

NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI WA KAMATI YA CPPCC YA CHINA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI WA KAMATI YA CPPCC YA CHINA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI WA KAMATI YA CPPCC YA CHINA
kiungo : NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI WA KAMATI YA CPPCC YA CHINA

soma pia


NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI WA KAMATI YA CPPCC YA CHINA

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo yake na Mkurugenzi wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Mashauriano ya Kisiasa ya China (CPPCC), Bw. Lou Jiwei alipofika ofisini kwake Dodoma tarehe 19 Oktoba, 2018 kwa lengo la kumsalimia na kumpongeza kwa kuteuliwa kushika wadhifa huo. Mkurugenzi huyo anaongoza ujumbe wa watu wanne wa Kamati hiyo ambao wapo nchini kwa mwaliko wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Yustino Ndugai. 
Mkurugenzi wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Mashauriano ya Kisiasa ya China (CPPCC) Bw. Lou Jiwei akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) walipokutana katika ofisi za Wizara hiyo zilizopo Jengo la LAPF jijini Dodoma kwa mazungumzo. Mkurugenzi huyo ni mgeni wa kwanza kutoka nchi za nje kumtembelea katika ofisi yake ya Dodoma. 
Mkurugenzi wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Mashauriano ya Kisiasa ya China (CPPCC) Bw. Lou Jiwei akimkabidhi zawadi ya kitabu Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) ikiwa ni kumbukumbu ya kukutana naye jijini Dodoma.


Hivyo makala NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI WA KAMATI YA CPPCC YA CHINA

yaani makala yote NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI WA KAMATI YA CPPCC YA CHINA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI WA KAMATI YA CPPCC YA CHINA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/naibu-waziri-wa-mambo-ya-nje-akutana.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI WA KAMATI YA CPPCC YA CHINA"

Post a Comment