KESI YA UTAKATISHAJI FEDHA INAYOMKABILI AVEVA,KABURU KUANZA KUSIKILIZWA APRILI 5

KESI YA UTAKATISHAJI FEDHA INAYOMKABILI AVEVA,KABURU KUANZA KUSIKILIZWA APRILI 5 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KESI YA UTAKATISHAJI FEDHA INAYOMKABILI AVEVA,KABURU KUANZA KUSIKILIZWA APRILI 5, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KESI YA UTAKATISHAJI FEDHA INAYOMKABILI AVEVA,KABURU KUANZA KUSIKILIZWA APRILI 5
kiungo : KESI YA UTAKATISHAJI FEDHA INAYOMKABILI AVEVA,KABURU KUANZA KUSIKILIZWA APRILI 5

soma pia


KESI YA UTAKATISHAJI FEDHA INAYOMKABILI AVEVA,KABURU KUANZA KUSIKILIZWA APRILI 5

 Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii

UPELELEZI katika kesi ya utakatishaji fedha, dola za Marekani 300,000 inayomkabili Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva na Makamu wake Godfrey Nyange, maarufu kama Kaburu, umekamilika na itaanza kusikilizwa Aprili 5 mwaka huu.

Wakili wa Serikali, Nassoro Katuga ameeleza hayo leo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba kesi hiyo ilipokuja kwa kutajwa.  

 Katuga aliiambia Mahakama kuwa mshtakiwa Aveva hayupo mahakamani hapo kwa kuwa ni mgonjwa amelazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

Baada ya taarifa hiyo, Wakili anayewatetea washtakiwa hao,Steven Mwakibolwa aliiambia Mahakama kuwa wapo tayari kuendelea na kwamba hali ya Aveva inaimarika ila siyo nzuri sana.

Hakimu Simba, amesema kama hali ya Aveva itakuwa imetengemaa kesi hiyo wataisikiliza mfululizo na kuongeza, kesi ilifunguliwa Juni 26, mwaka jana  na wajitahidi isikilizwe na kumalizika ndani ya miezi 12.

Washitakiwa hao wanakabiliwa na mashitaka matano ya kutakatisha fedha na kughushi ambayo wanadaiwa kuwa kati ya Machi 15 na Juni 29,mwaka 2016 Dar es Salaam Aveva na Nyange kwa pamoja walikula njama ya kutakatisha fedha kwa kupata Dola za Marekani 300,000 wakati wakijua ni zao la uhalifu.


Hivyo makala KESI YA UTAKATISHAJI FEDHA INAYOMKABILI AVEVA,KABURU KUANZA KUSIKILIZWA APRILI 5

yaani makala yote KESI YA UTAKATISHAJI FEDHA INAYOMKABILI AVEVA,KABURU KUANZA KUSIKILIZWA APRILI 5 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KESI YA UTAKATISHAJI FEDHA INAYOMKABILI AVEVA,KABURU KUANZA KUSIKILIZWA APRILI 5 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/kesi-ya-utakatishaji-fedha-inayomkabili.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KESI YA UTAKATISHAJI FEDHA INAYOMKABILI AVEVA,KABURU KUANZA KUSIKILIZWA APRILI 5"

Post a Comment