title : MTANZANIA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 23 NCHINI UINGEREZA KWA KUMUUA MKEWE
kiungo : MTANZANIA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 23 NCHINI UINGEREZA KWA KUMUUA MKEWE
MTANZANIA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 23 NCHINI UINGEREZA KWA KUMUUA MKEWE
Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamii
MTANZANIA Kema Salumu (39) amehukumiwa kifungo cha miaka 23 baada ya kukutwa na hatia ya kumuua mkewe Leyla Mtumwa (35) wakiwa nyumbani kwao huko Haringey Uingereza mapema April mwaka huu.
Mahakama imeeleza kuwa chanzo cha tukio hilo ni Salumu kuwa na wivu wa kimapenzi kwa mkewe mara baada ya kutoka na rafiki zake usiku.
Imeelezwa kuwa mapema Machi 30 Salumu aliandaa mpango kabla ya kwenda jikoni na kuchukua kisu na kumjeruhi Leyla kwa kumchoma kisu mara 49 katika maeneo ya kichwa, shingo, mwili na mikono huku kijana wao wa miaka 12 akishuhudia na kupiga kelele akimzuia baba yake.
Aidha imeelezwa kuwa awali alikana kufanya mauaji hayo kwa kusema kuwa alikuwa anajilinda na baadaye Septemba akakiri kufanya mauaji hayo.
Salum Kema amekuwa akiishi Uingereza kwa miezi sita tangu waoane na Leyla na baadaye kumuua papo hapo kwa kisu.
Hivyo makala MTANZANIA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 23 NCHINI UINGEREZA KWA KUMUUA MKEWE
yaani makala yote MTANZANIA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 23 NCHINI UINGEREZA KWA KUMUUA MKEWE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MTANZANIA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 23 NCHINI UINGEREZA KWA KUMUUA MKEWE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/mtanzania-ahukumiwa-kifungo-cha-miaka.html
0 Response to "MTANZANIA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 23 NCHINI UINGEREZA KWA KUMUUA MKEWE"
Post a Comment