title : IGP SIRRO AFANYA UKAGUZI WA KUSTUKIZA HOSPITALI YA POLISI
kiungo : IGP SIRRO AFANYA UKAGUZI WA KUSTUKIZA HOSPITALI YA POLISI
IGP SIRRO AFANYA UKAGUZI WA KUSTUKIZA HOSPITALI YA POLISI
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, akisalimiana na maafisa wa Jeshi hilo alipowasili Hospitali ya Polisi iliyopo barabara ya Kilwa, kwa lengo la kuzungumza na uongozi na kujionea namna ya utoaji wa huduma za afya kwa wateja.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro (wa pili kulia), akimjulia hali mmoja kati ya wagonjwa wanaopatiwa matibabu katika Hospitali ya Polisi iliyopo barabara ya Kilwa, alipofanya ukaguzi wa ghafla katika hospitali hiyo kwa lengo la kuzungumza na uongozi na kujionea namna ya utoaji wa huduma za afya kwa wateja.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, akimsikiliza Kamanda wa Kikosi cha Afya (SACP) Paul Kasabago, alipofanya ukaguzi wa ghafla katika Hospitali ya Polisi iliyopo barabara ya Kilwa, kwa lengo la kuzungumza na uongozi na kujionea namna ya utoaji wa huduma za afya kwa wateja.
Hivyo makala IGP SIRRO AFANYA UKAGUZI WA KUSTUKIZA HOSPITALI YA POLISI
yaani makala yote IGP SIRRO AFANYA UKAGUZI WA KUSTUKIZA HOSPITALI YA POLISI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala IGP SIRRO AFANYA UKAGUZI WA KUSTUKIZA HOSPITALI YA POLISI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/igp-sirro-afanya-ukaguzi-wa-kustukiza.html
0 Response to "IGP SIRRO AFANYA UKAGUZI WA KUSTUKIZA HOSPITALI YA POLISI"
Post a Comment