title : FCS YAWEZESHA AZAKI ZA ZANZIBAR KUFANYA MAFUNZO YA UTETEZI MOROGORO
kiungo : FCS YAWEZESHA AZAKI ZA ZANZIBAR KUFANYA MAFUNZO YA UTETEZI MOROGORO
FCS YAWEZESHA AZAKI ZA ZANZIBAR KUFANYA MAFUNZO YA UTETEZI MOROGORO
Meneja wa Kitengo cha Kujenga Uwezo kutoka Foundation for Civil Society, Edna Chilimo, akizungumza wakati wa mafunzo kwa Wana Asasi za Kiraia kutoka Visiwa vya Zanzibar yaliyofanyika katika ukumbi wa New Savoy mjini Morogoro.
Makundi washiriki wa mafunzo hayo ni Azaki kutoka Zanzibar na Pemba ambapo wanashiriki mafunzo ya Utetezi na Ushawishi wa Sera kutoka kwa mashirika ya MVIWATA (Muungano wa Vyama vya Wakulima Wadogo Tanzania) na MPLC (Morogoro Para-Legal Center). Mashirika haya mawili yamebobea katika Ushawishi na Utetezi wa haki za kumiliki ardhi kwa makundi mbalimbali mkoani Morogoro. Picha zote na Muhidin Sufiani (MAFOTO).
Mshauri Mwelekezi wa Mradi wa Sera kutoka The Foundation for Civil Society Zanzibar, Salma Maulidi, akiendesha mafunzo hayo ndani ya ukumbi wa New savoy Morogoro.
Mkulima Mwezeshaji wa Mtandao wa Vikundi vya Wakulima Tanzania MVIWATA Morogoro, Marcelina Kibena akiendesha mafunzo kwa washiri kutoka asasi za Kiraia za Visiwani Zanzibar yaliyofanyika katika Ofisi za MVIWATA zilizopo Viwanja vya Nane Nane mjini Morogoro.
Ofisa Miradi wa Morogoro Para-Legal Center (MPLC) Sakina Nyumayo, akifafanua jambo kwa washiriki hao wakati wa mafunzo.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala FCS YAWEZESHA AZAKI ZA ZANZIBAR KUFANYA MAFUNZO YA UTETEZI MOROGORO
yaani makala yote FCS YAWEZESHA AZAKI ZA ZANZIBAR KUFANYA MAFUNZO YA UTETEZI MOROGORO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala FCS YAWEZESHA AZAKI ZA ZANZIBAR KUFANYA MAFUNZO YA UTETEZI MOROGORO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/fcs-yawezesha-azaki-za-zanzibar-kufanya.html
0 Response to "FCS YAWEZESHA AZAKI ZA ZANZIBAR KUFANYA MAFUNZO YA UTETEZI MOROGORO"
Post a Comment