title : MSIMU WA FENESI
kiungo : MSIMU WA FENESI
MSIMU WA FENESI
Mafenesi yakiwa kando ya Barabara ya Kilwa kwaajili ya kusafirishwa katika kijiji cha Kimanzi chana leo Wilaya Mkuranga mkoa wa Pwani.
Mfanyabiashara wa mafenesi katika kituo cha mabasi Mbagala jijini Dar es Salaam akiwauzia wateja wake baada ya msimu wa matunda hayo kuanza ambapo fenesi moja huuzwa kati ya sh 1500 hadi sh 4000 kutokana na ukubwa wake.
(Picha na Emmanuel Massaka wa MMG)
(Picha na Emmanuel Massaka wa MMG)
Fenesi Sokoni.
Hivyo makala MSIMU WA FENESI
yaani makala yote MSIMU WA FENESI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MSIMU WA FENESI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/msimu-wa-fenesi.html
0 Response to "MSIMU WA FENESI"
Post a Comment