title : RC MAKONDA AONGOZA MSAFARA WA WASANII NA WAANDISHI WA HABARI KUTEMBELEA MRADI WA SGR.
kiungo : RC MAKONDA AONGOZA MSAFARA WA WASANII NA WAANDISHI WA HABARI KUTEMBELEA MRADI WA SGR.
RC MAKONDA AONGOZA MSAFARA WA WASANII NA WAANDISHI WA HABARI KUTEMBELEA MRADI WA SGR.
MKuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh. Paul Makonda akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli (TRC)Bw. Masanja Kadogosa wakati alipowasili tayari kwa kuongoza wasanii na waandishi wa habari kwa ajili ya kutembelea na kujionea namna shughuli za ujenzi wa reli ya kisasa ya umeme Starndard Gauge Railway (SGR) kutoka Dar es salaam kwenda Morogoro unavyoendelea, ambapo treni hiyo imeondoka leo na wasanii wa fani mbalimbali pamoja na wanahabari wa vyombo mbalimbali ikiwemo mitandao ya kijamii. (PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE)
MKuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh. Paul Makonda akizungumza jambo kabla ya kukagua mradi huo eneo la kamata na kisha kuanza safari na waandishi wa habari pamoja na wasanii mbalimbali jijini Dar es salaam kulia ni Mkurugenzi wa Shirika la Reli (TRC) Bw. Masanja Kadogosa.
MKuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh. Paul Makonda akifanya ukaguzi mdogo wamradi huo eneo la kamata kabla ya kuondoka na msafara huo kushoto ni Mkurugenzi wa TRC Bw. Masanja Kadogosa na kulia ni Steve Nyerere Mratibu wa ziara hiyo.
MKuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh. Paul Makonda akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa TRC Bw. Masanja Kadogosa wakati akifanya ukaguzi mdogo wa mradi huo eneo la Kamata kabla ya kuondoka na msafara huo kushoto ni Steve Nyerere Mratibu wa ziara hiyo.
Mafundi wa kampuni ya Yapi Merkezi wakiendelea na kazi ya kujenga nguzo.
Meneja wa WCB Babu Tale na Promota wa ngumi Bw. Kaike ni miongoni mwa watu waliojiambatana na wasanii wengine katika ziara hiyo
Wasanii Peter Msechu na Mrisho Mpoto wakiwa katika ziara hiyo pia.
Picha zikionyesha wasanii mbalimbai ambao wapo katika ziara hiyo kabla ya kupanda treni na kuanza safari ya kwenda Morogoro.
Hivyo makala RC MAKONDA AONGOZA MSAFARA WA WASANII NA WAANDISHI WA HABARI KUTEMBELEA MRADI WA SGR.
yaani makala yote RC MAKONDA AONGOZA MSAFARA WA WASANII NA WAANDISHI WA HABARI KUTEMBELEA MRADI WA SGR. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RC MAKONDA AONGOZA MSAFARA WA WASANII NA WAANDISHI WA HABARI KUTEMBELEA MRADI WA SGR. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/rc-makonda-aongoza-msafara-wa-wasanii.html
0 Response to "RC MAKONDA AONGOZA MSAFARA WA WASANII NA WAANDISHI WA HABARI KUTEMBELEA MRADI WA SGR."
Post a Comment