title : MARUFUKU WAJAWAZITO KUFUNGA MDOA KANISA LA WASABATO.
kiungo : MARUFUKU WAJAWAZITO KUFUNGA MDOA KANISA LA WASABATO.
MARUFUKU WAJAWAZITO KUFUNGA MDOA KANISA LA WASABATO.
Na. Mwambawahabari
Mchungaji wa kanisa la Waadiventista wa Sabato mtaa wa kurasini Harold Lisi, amewaeleza waumini wa kanisa hilo kuwa kwa mujibu wa utaratibu wa kanisa hilo hakuna muuminianaye ruhusiwa kufunga ndoa huku Bibi Harusi akiwa mjamzito.
Mchungaji Lisi amewaka wazi jambo hilo leo jioni wakati akizungumza na wa Shirika wa kanisa hilo kabla ya kuanza kwa mkutano wa Halmashauri ya kanisa, na kuongeza kuwa kumekuwa na baadhi ya watu ambao wamekuwa hawa fuati utaratibu huo jambo ambalo amesema ni kinyume na maelekezo ya kanisa hilo.
"Na taka niwaelekeze vijana utaratibu wa kufunga ndoa kanisani, unatakiwa kuleta barua kanisani hata kama atakayefungisha hiyondoa ni mimi Mchungaji wako, pia unatakiwa usiwe na haraka haraka eti unataka ndani ya muda mfupi ufungiwendoa, wengi wanafanya hivyo unakuja kafunga ndoa baada ya miezi sita baada ya ndoa unakuta tayari wamepata watoto inamaanisha wakati wanafunga hiyo ndoa Bibi arusi alikuwa mjamzito haitakiwi "alisema.
Aidha amewataka waumini hao kuwa na na umoja , upendo, na ushirikiano hata katika nyakatingumu kwani Mungu hashindwi na jambo lolote.
" unaoweza kuwa na matatizo mengi na ugumu wa hapa na pale ukienda kwenye kwaya mambo magumu ukirudi huku mabo magumu lakini nakusihi usichoke Mungu ni Mshindi" alisema.
Hivyo makala MARUFUKU WAJAWAZITO KUFUNGA MDOA KANISA LA WASABATO.
yaani makala yote MARUFUKU WAJAWAZITO KUFUNGA MDOA KANISA LA WASABATO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MARUFUKU WAJAWAZITO KUFUNGA MDOA KANISA LA WASABATO. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/marufuku-wajawazito-kufunga-mdoa-kanisa.html
0 Response to "MARUFUKU WAJAWAZITO KUFUNGA MDOA KANISA LA WASABATO."
Post a Comment