HOSPITALI YA MACHO YATOA HUDUMA YA KUPIMA MACHO LEO

HOSPITALI YA MACHO YATOA HUDUMA YA KUPIMA MACHO LEO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa HOSPITALI YA MACHO YATOA HUDUMA YA KUPIMA MACHO LEO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : HOSPITALI YA MACHO YATOA HUDUMA YA KUPIMA MACHO LEO
kiungo : HOSPITALI YA MACHO YATOA HUDUMA YA KUPIMA MACHO LEO

soma pia


HOSPITALI YA MACHO YATOA HUDUMA YA KUPIMA MACHO LEO

 Daktari wa macho wa Hospitali ya Macho ya Kimataifa (The International Eye Hospital), Dk. Mahija Matola akimfanyia uchunguzi wa macho, Stanslaus Shanyeli wakati wa huduma ya upimaji wa macho bure ilisyoendeshwa kwa ushirikiano na Hospitali ya Heameda Medical Clinic ya Bunju B Dar es Salaam. Huduma hiyo ya bure ya siku mbili inatarajiwa kukamilika leo.
 Daktari wa macho wa Hospitali ya Macho ya Kimataifa (The International Eye Hospital), Dk. Mahija Matola akimfanyia uchunguzi wa macho mkazi wa Bunju B, Regina Mwakasungula wakati wa huduma ya upimaji wa macho bure ilisyoendeshwa kwa ushirikiano na Hospitali ya Heameda Medical Clinic ya Bunju B Dar es Salaam. Huduma hiyo ya bure ya siku mbili inatarajiwa kukamilika leo.
 Daktari wa macho wa Hospitali ya Macho ya Kimataifa (The International Eye Hospital), Dk. Mahija Matola akimfanyia uchunguzi wa macho mkazi wa Bunju B, Rehema Kasapale wakati wa huduma ya upimaji wa macho bure ilisyoendeshwa kwa ushirikiano na Hospitali ya Heameda Medical Clinic ya Bunju B Dar es Salaam. Huduma hiyo ya bure ya siku mbili inatarajiwa kukamilika leo.


Daktari wa macho wa Hospitali ya Macho ya Kimataifa (The International Eye Hospital), Dk. Mahija Matola akimfanyia uchunguzi wa macho mkazi wa Keko,Leornard Lawrence wakati wa huduma ya upimaji wa macho bure ilisyoendeshwa kwa ushirikiano na Hospitali ya Heameda Medical Clinic ya Bunju B Dar es Salaam. Huduma hiyo ya bure ya siku mbili inatarajiwa kukamilika leo.
 (Na Mpiga Picha Wetu)



Hivyo makala HOSPITALI YA MACHO YATOA HUDUMA YA KUPIMA MACHO LEO

yaani makala yote HOSPITALI YA MACHO YATOA HUDUMA YA KUPIMA MACHO LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala HOSPITALI YA MACHO YATOA HUDUMA YA KUPIMA MACHO LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/hospitali-ya-macho-yatoa-huduma-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "HOSPITALI YA MACHO YATOA HUDUMA YA KUPIMA MACHO LEO"

Post a Comment