MAHAKAMA YAGOMA KUFUTA KESI YA TUHUMA ZA UTAKATISHAJI FEDHA INAYOMKABILI AVEVA,NYANGE

MAHAKAMA YAGOMA KUFUTA KESI YA TUHUMA ZA UTAKATISHAJI FEDHA INAYOMKABILI AVEVA,NYANGE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAHAKAMA YAGOMA KUFUTA KESI YA TUHUMA ZA UTAKATISHAJI FEDHA INAYOMKABILI AVEVA,NYANGE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAHAKAMA YAGOMA KUFUTA KESI YA TUHUMA ZA UTAKATISHAJI FEDHA INAYOMKABILI AVEVA,NYANGE
kiungo : MAHAKAMA YAGOMA KUFUTA KESI YA TUHUMA ZA UTAKATISHAJI FEDHA INAYOMKABILI AVEVA,NYANGE

soma pia


MAHAKAMA YAGOMA KUFUTA KESI YA TUHUMA ZA UTAKATISHAJI FEDHA INAYOMKABILI AVEVA,NYANGE

Na Karama Kenyunko,Globu ya jamii

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema haiwezi kifuta kesi ya utakatishaji wa fedha inayomkabili Rais wa Klabu ya Simba Evans Aveva na Makamu wake Godfrey Nyange maarufu Kaburu sababu kesi hiyo imeishafikia hatua ya usikilizwaji wa awali.

Badala yake Mahakama kwa mara nyingine, imetoa amri na kuwapa siku 14 upande wa mashtaka kutekeleza amri iliyoitoa ya kuwataka aidha wafute mashtaka dhidi ya Zacharia Hanspoppe na mfanyabiashara, Franklin Lauwo au wabadilishe hati ya mashtaka kwa kuwaondoa washtakiwa hao ili kesi isikilizwe.

Uamuzi huo umetolewa leo mahakamani hapo na Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba, kutokana na ombi la mawakili wa washtakiwa hao wakiongozwa na Nehemia Nkoko kuiomba mahakama ifute kesi hiyo kwa sababu upande wa mashtaka wameshindwa kuiendesha.

Akisoma uamuzi huo hakimu Simba amesema amepitia hoja za pande zote mbili na ameona kuwa, huu si muda muafaka wa kufuta kesi hiyo kwa sababu tayari ilikuwa katika hatua ya (PH) na pia ilishatoa amri ambayo bado haijatekelezwa.Hakimu Simba amesema upande wa mashtaka wanatakiwa watekeleze amri iliyotolewa Mei 12 mwaka ,2018, kwa hiyo haiwezi kufuta kesi hiyo, kwa sababu itafuta hadi amri ambayo tayari ilishaitoa na haijatekelezeka.

"Si muda mwafaka wa kufuta kesi hii, natoa siku 14 kuanzia kesho kwa upande wa mashtaka kufanya mabadiliko na kama hawatafanya hivyo, Mahakama inaweza kuamua vingine itakavyoona inafaa, " amesema Hakimu Simba.Aidha Hakimu Simba ametaka amri hiyo itekelezeke kwa sababu hawajulikani ni lini Hansoppe na Lauwo watakamatwa  wakati Aveva na Kaburu wapo mahabusu.



Hivyo makala MAHAKAMA YAGOMA KUFUTA KESI YA TUHUMA ZA UTAKATISHAJI FEDHA INAYOMKABILI AVEVA,NYANGE

yaani makala yote MAHAKAMA YAGOMA KUFUTA KESI YA TUHUMA ZA UTAKATISHAJI FEDHA INAYOMKABILI AVEVA,NYANGE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAHAKAMA YAGOMA KUFUTA KESI YA TUHUMA ZA UTAKATISHAJI FEDHA INAYOMKABILI AVEVA,NYANGE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/mahakama-yagoma-kufuta-kesi-ya-tuhuma.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAHAKAMA YAGOMA KUFUTA KESI YA TUHUMA ZA UTAKATISHAJI FEDHA INAYOMKABILI AVEVA,NYANGE"

Post a Comment