maazimisho ya Siku ya utundikaji mizinga ya nyukia kitaifa yafana Monduli

maazimisho ya Siku ya utundikaji mizinga ya nyukia kitaifa yafana Monduli - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa maazimisho ya Siku ya utundikaji mizinga ya nyukia kitaifa yafana Monduli, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : maazimisho ya Siku ya utundikaji mizinga ya nyukia kitaifa yafana Monduli
kiungo : maazimisho ya Siku ya utundikaji mizinga ya nyukia kitaifa yafana Monduli

soma pia


maazimisho ya Siku ya utundikaji mizinga ya nyukia kitaifa yafana Monduli

Mkuu wa wilaya ya Monduli Mhe. Idd Hassan Kimanta ameshiriki katika maazimisho ya Siku ya utundikaji mizinga kitaifa ambapo kiwilaya liliazimishwa kijiji cha Losimingori. Mkuu huyo wa aliishukuru Wakala wa misitu(TFS) kwa kutoa Mizinga 102 katika vikundi vitano, na kuwasisitiza kutumia zao la asali kama fursa ambalo zao hilo halihitaji kupalilia wala kunyeshea bali ni kutundika mizinga kwa utaalamu na kusubiri nyuki. 
Mhe. Kimanta ametoa magizo kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya kupitia mapato ya ndani kununua mizinga 500 ambayo itagawanywa kwa vikundi na kuhamasisha kuanzisha kwa vikundi vya vijana, kinamama, wazee na walemavu kwa ajili ya miradi ya ufugaji wa nyuki ili kukuza uchumi kwa wananchi.
 Mkuu wa wilaya ya Monduli Mhe. Idd Hassan Kimanta akivishwa lubega aliopewa kama zawadi na wananchi wakati wa maazimisho ya Siku ya utundikaji mizinga kitaifa ambapo ki-Wilaya liliazimishwa kijiji cha Losimingori.
 Mkuu wa wilaya ya Monduli Mhe. Idd Hassan Kimanta akiongea na wananchi wakati wa maazimisho ya Siku ya utundikaji mizinga kitaifa ambapo ki-Wilaya liliazimishwa kijiji cha Losimingori.
 Maafisa wa Wakala wa misitu(TFS) wakitoa moja ya mizinga 102 kwa wananchi wakati wa maazimisho ya Siku ya utundikaji mizinga kitaifa ambapo ki-Wilaya liliazimishwa kijiji cha Losimingori.
  Mkuu wa wilaya ya Monduli Mhe. Idd Hassan Kimanta  na Maafisa wa Wakala wa misitu(TFS) wakitoa moja ya mizinga 102 kwa wananchi wakati wa maazimisho ya Siku ya utundikaji mizinga kitaifa ambapo ki-Wilaya liliazimishwa kijiji cha Losimingori.
Mkuu wa wilaya ya Monduli Mhe. Idd Hassan Kimanta  na Maafisa wa Wakala wa misitu(TFS) wakitoa moja ya mizinga 102 kwa wananchi wakati wa maazimisho ya Siku ya utundikaji mizinga kitaifa ambapo ki-Wilaya liliazimishwa kijiji cha Losimingori.


Hivyo makala maazimisho ya Siku ya utundikaji mizinga ya nyukia kitaifa yafana Monduli

yaani makala yote maazimisho ya Siku ya utundikaji mizinga ya nyukia kitaifa yafana Monduli Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala maazimisho ya Siku ya utundikaji mizinga ya nyukia kitaifa yafana Monduli mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/maazimisho-ya-siku-ya-utundikaji.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "maazimisho ya Siku ya utundikaji mizinga ya nyukia kitaifa yafana Monduli"

Post a Comment