Usafiri wa Pikipiki Maarufu Kwa Jina la Bodaboda Visiwani Zanzibar Mkombozi wa Wananchi Kurahisisha Safari Zao.

Usafiri wa Pikipiki Maarufu Kwa Jina la Bodaboda Visiwani Zanzibar Mkombozi wa Wananchi Kurahisisha Safari Zao. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Usafiri wa Pikipiki Maarufu Kwa Jina la Bodaboda Visiwani Zanzibar Mkombozi wa Wananchi Kurahisisha Safari Zao., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Usafiri wa Pikipiki Maarufu Kwa Jina la Bodaboda Visiwani Zanzibar Mkombozi wa Wananchi Kurahisisha Safari Zao.
kiungo : Usafiri wa Pikipiki Maarufu Kwa Jina la Bodaboda Visiwani Zanzibar Mkombozi wa Wananchi Kurahisisha Safari Zao.

soma pia


Usafiri wa Pikipiki Maarufu Kwa Jina la Bodaboda Visiwani Zanzibar Mkombozi wa Wananchi Kurahisisha Safari Zao.

Vijana waendesha pikipiki maarufu kwa jina la Daladala wakiwa katika kituo cha gari za abiria kikwajuni wakisubiri wateja wao ili kutowa huduma hiyo, kama walivyokutwa na mpiga picha wetu katika eneo hilo.  

Wananchi takribani alilimia 85 kisiwani Zanzibar hutumia usafiri wa Pikipiki maarifu kwa jina la Bodaboda hutowa huduma hiyo kwa wananchi katika safari za hapa na pale kutoka na urahisi wake wa bei huchajia kutokana na umbali wa safari yako.

Vijana wengi kisiwani Zanzibar wamejiajiri kupitia kazi hiyo ya kusafirika Wananchi kwa kutumia pikipiki katika maeneo ya vituo vya daladala hukaa na kusubiri abiria wao ili kutowa huduma hiyo, kwa bei ya maelewano kwa usafiri wa mjini kuazia katika kituo cha daladala michezani na kikwajuni kuelekea mji mkongwe hadi bandari huchukua kuazia shilingi 2000/ na 2500.

Usafiri kwa sasa umekuwa mkubwa hadi katika vituo cha gari za abiria mashamba nako hukaa katika vituo hivyo kutowa huduma hiyo kwa wananchi wanaofika na kuwafikisha katika makaazi yao umbali na kituo cha daladala.



Hivyo makala Usafiri wa Pikipiki Maarufu Kwa Jina la Bodaboda Visiwani Zanzibar Mkombozi wa Wananchi Kurahisisha Safari Zao.

yaani makala yote Usafiri wa Pikipiki Maarufu Kwa Jina la Bodaboda Visiwani Zanzibar Mkombozi wa Wananchi Kurahisisha Safari Zao. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Usafiri wa Pikipiki Maarufu Kwa Jina la Bodaboda Visiwani Zanzibar Mkombozi wa Wananchi Kurahisisha Safari Zao. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/usafiri-wa-pikipiki-maarufu-kwa-jina-la.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Usafiri wa Pikipiki Maarufu Kwa Jina la Bodaboda Visiwani Zanzibar Mkombozi wa Wananchi Kurahisisha Safari Zao."

Post a Comment