title : KATIBU MKUU KILIMO MHANDISI MTIGUMWE AKABIDHIWA RASMI TUME YA TAIFA YA UMWAGILIAJI
kiungo : KATIBU MKUU KILIMO MHANDISI MTIGUMWE AKABIDHIWA RASMI TUME YA TAIFA YA UMWAGILIAJI
KATIBU MKUU KILIMO MHANDISI MTIGUMWE AKABIDHIWA RASMI TUME YA TAIFA YA UMWAGILIAJI
Na Mathias Canal, WK-Dodoma
Katika kuongeza ufanisi kwenye matumizi ya umwagiliaji katika
kilimo kama sehemu ya utekelezaji wa Programu ya kuendeleza sekta ya kilimo awamu
ya pili (Agricultural Sector Development
Programme -Phase Two -ASDP II) rasmi Katibu Mkuu wa Wizara ya kilimo
Mhandisi Mathew Mtigumwe amekabidhiwa Tume ya Umwagiliaji na katibu Mkuu wa
wizara ya maji Prof Kitila Mkumbo.

Uamuzi huo wa Tume ya umwagiliaji kuhamishiwa wizara ya
kilimo unalenga kuiwezesha wizara yenye dhamana ya sekta ya maji kudhibiti
matumizi ya maji katika umwagiliaji bila kuwa na mgongano wa kimajukumu.

Imeelezwa kuwa sekta ya umwagiliaji ndiyo inayoongoza kwa
matumizi ya maji hapa nchini ambapo kwa
sasa kiwango cha matumizi ya maji kwa ajili ya umwagiliaji kinakadiriwa kuwa
mita za ujazo milioni 10,309 kwa mwaka ambacho ni sawa na asilimia 83.6 ya
matumizi ya maji yote hapa nchini.

Kufuatia uamuzi huu wa serikali Tume ya umwagiliaji sasa
itawajibika kiutawala kwa katibu Mkuu wa wizara ya kilimo na hivyo jina la
wizara ya maji kubadilika na kuwa wizara ya Maji.

Katika kutekeleza maamuzi ya serikali ya kuhamishia wizara ya
kilimo jukumu la umwagiliaji, leo tarehe 10 Octoba 2018 Katibu Mkuu wa wizara
ya kilimo Mhandisi Mathew Mtigumwe na Katibu Mkuu wa wizara ya maji Prof Kitila
Mkumbo wamefanya makabidhiano ya nyaraka muhimu kuhusu Tume ya Umwagiliaji
zikiwemo sera ya umwagiliaji, Sheria ya umwagiliaji, na mpango kabambe wa
Umwagiliaji (Revised National Irrigation
Master Plan).

Utekelezaji wa maamuzi ya serikali kuhamishia jukumu la
umwagiliaji kwenda wizara ya kilimo utaendelea kutekelezwa hatua kwa hatua
katika mwaka wote huu wa fedha 2018/2019 na utakamilika kwa marekebisho ya Hati
ya mgawanyo wa majukumu ya wizara ya Maji na Wizara ya kilimo.

Hivyo makala KATIBU MKUU KILIMO MHANDISI MTIGUMWE AKABIDHIWA RASMI TUME YA TAIFA YA UMWAGILIAJI
yaani makala yote KATIBU MKUU KILIMO MHANDISI MTIGUMWE AKABIDHIWA RASMI TUME YA TAIFA YA UMWAGILIAJI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KATIBU MKUU KILIMO MHANDISI MTIGUMWE AKABIDHIWA RASMI TUME YA TAIFA YA UMWAGILIAJI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/katibu-mkuu-kilimo-mhandisi-mtigumwe.html
0 Response to "KATIBU MKUU KILIMO MHANDISI MTIGUMWE AKABIDHIWA RASMI TUME YA TAIFA YA UMWAGILIAJI"
Post a Comment