IGP SIRRO AKUTANA NA MKURUGENZI TAKUKURU

IGP SIRRO AKUTANA NA MKURUGENZI TAKUKURU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa IGP SIRRO AKUTANA NA MKURUGENZI TAKUKURU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : IGP SIRRO AKUTANA NA MKURUGENZI TAKUKURU
kiungo : IGP SIRRO AKUTANA NA MKURUGENZI TAKUKURU

soma pia


IGP SIRRO AKUTANA NA MKURUGENZI TAKUKURU


Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Kamishna Diwani Athuman wakizungumza na Maofisa Wakuu wa Polisi waliopo Makao Makuu ya Polisi wakati wa kikao cha kuweka mikakati ya kuzuia na kupambana na rushwa.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Kamishna Diwani Athuman (kushoto) wakati Mkurugenzi huyo na ujumbe wake walipotembelea Makao Makao Makuu ya Polisi na kufanya kikao na Maofisa Wakuu wa Polisi kwa lengo la kuweka mikakati ya kuzuia na kupambana na rushwa. Wengine ni Naibu Mkurugenzi Mkuu Brigedia Jenerali John Mbungo na Kamishna wa Utawala na Raslimali watu Albert Nyamhanga. (Picha na Jeshi la Polisi).
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro na Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Kamishna Diwani Athuman wakiwa katika picha ya pamoja na Maofisa na Viongozi wengine baada ya kumaliza kikao kwa lengo la kuongeza kasi katika kuzuia na kupambana na rushwa. 
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Kamishna Diwani Athuman baada ya kumaliza kikao na Maofisa Wakuu wa Polisi Makao Makuu ya Polisi kwa lengo la kuongeza kasi katika kuzuia na kupambana na rushwa. (Picha na Jeshi la Polisi)


Hivyo makala IGP SIRRO AKUTANA NA MKURUGENZI TAKUKURU

yaani makala yote IGP SIRRO AKUTANA NA MKURUGENZI TAKUKURU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala IGP SIRRO AKUTANA NA MKURUGENZI TAKUKURU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/igp-sirro-akutana-na-mkurugenzi-takukuru.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "IGP SIRRO AKUTANA NA MKURUGENZI TAKUKURU"

Post a Comment