Shindano la Sanaa: Wito wa Kuwasilisha kazi za Ubunifu wa Sanaa

Shindano la Sanaa: Wito wa Kuwasilisha kazi za Ubunifu wa Sanaa - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Shindano la Sanaa: Wito wa Kuwasilisha kazi za Ubunifu wa Sanaa, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Shindano la Sanaa: Wito wa Kuwasilisha kazi za Ubunifu wa Sanaa
kiungo : Shindano la Sanaa: Wito wa Kuwasilisha kazi za Ubunifu wa Sanaa

soma pia


Shindano la Sanaa: Wito wa Kuwasilisha kazi za Ubunifu wa Sanaa

Chama cha Wanayansi wa Elimu Bahari ukanda wa Magharibi mwa Bahari ya Hindi (WIOMSA) kimeandaa mashindano ya kazi za sanaa kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari za Tanzania. Dhima ya mashindano hayo ni: “Umuhimu wa Mazingira ya Pwani na Bahari kwa Tanzania”. Chora, paka rangi, tumia program za kompyuta za uchoraji au eleza mawazo yako hayo kwa kutunga wimbo.   

Vigezo na Masharti ya Kushiriki 
Uwasilishaji wa ubunifu huo unaweza kufanyika kwa michoro (zikiwemo katuni/vibonzo) au utunzi wa nyimbo. Mwanafunzi anaweza kuwasilisha kazi moja kwa kila njia ya uwasilishaji. 
i) Majina na mawasiliano. Andika jina lako, tarehe ya kuzaliwa, jinsia, anuani kamili ikiwemo namba ya simu na jina la shule. 
ii) Maelezo: Andika maelezo ya sentensi moja kuhusiana na kazi yako ya sanaa.

Tuzo:
Tuzo zitatolewa kwa washindi watatu wa mwanzo kwa kila kundi
i. Cheti 
ii. Seti ya vitabu vya shule 
iii. Pesa taslimu: Mshindi wa kwanza 1,000,000/- Mshindi wa pili 500,000/- na Mshindi wa tatu 300,000/-

Mfumo wa uwasilishaji: 
i. Michoro: iwe kwa rangi nyeusi na nyeupe au rangi mbalimbali na zichorwe kwenye karatasi ya ukubwa wa A4 (iwe ni ukurasa mmoja tu). Kwa kuwasilisha kupitia mtandao utapiga picha kwa scanner na kuipakia kwenye mtandao kwa muundo wa jpg au pdf).
ii. Utunzi wa muziki: urekodiwe kwa kuimbwa bila vyombo (acapella) au na vyombo vya muziki (uimbwe kwa muda wa kati ya dakika 1 - 3 tu uhifadhiwe kwenye kwenye mfumo wa mp3 au mp4 kwa ajili ya kupakia mtandaoni au kuwekwa kwenye CD au flash drive kwa ajili ya kutumwa kwa njia ya posta.

Kazi zote za sanaa ziwasilishwe kabla ya Jumanne 31 Oktoba 2017 kupitia: 
au
2. Njia ya posta kwenda: 
WIOMSA 
S.L.B 3298, 
Zanzibar
au
3. Namba ya whatsApp: 0767 254 887

Kwa maelezo zaidi wasiliana kupitia:
 +255 24 2233472 / +255 24 2234597 au secretary@wiomsa.org


Hivyo makala Shindano la Sanaa: Wito wa Kuwasilisha kazi za Ubunifu wa Sanaa

yaani makala yote Shindano la Sanaa: Wito wa Kuwasilisha kazi za Ubunifu wa Sanaa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Shindano la Sanaa: Wito wa Kuwasilisha kazi za Ubunifu wa Sanaa mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/shindano-la-sanaa-wito-wa-kuwasilisha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Shindano la Sanaa: Wito wa Kuwasilisha kazi za Ubunifu wa Sanaa"

Post a Comment