title : WAZIRI MBARAWA AIVUNJA BODI YA MAJI MJI MDOGO KIBAIGWA KWA UTENDAJI MBOVU
kiungo : WAZIRI MBARAWA AIVUNJA BODI YA MAJI MJI MDOGO KIBAIGWA KWA UTENDAJI MBOVU
WAZIRI MBARAWA AIVUNJA BODI YA MAJI MJI MDOGO KIBAIGWA KWA UTENDAJI MBOVU
Waziri wa Maji Prof Makame Mbarawa akipata maelekezo kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Deo Ndejembi juu ya mradi wa Tanki la Maji litakalochukua lita milioni tatu na kumaliza tatizo la maji katika baadhi ya maeneo ya Wilaya ya Kongwa.
Waziri wa Maji Prof Makame Mbarawa akizungumza jambo na Mbunge wa Kongwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai wakati waziri uyo alipofanya ziara ya kukagua miradi ya maji katika eneo hilo.
Waziri wa Maji Prof Makame Mbarawa akizungumza na wakazi wa Mtanana Wilayani Kongwa mara baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Mradi wa Maji.
Waziri wa Maji Prof Makame Mbarawa akitoa maelekezo kwa Meneja wa Mamlaka ya Maji mji mdogo wa Kibaigwa Mhandisi Bonifas Bihemo alipofanya ziara ya kukagua miradi ya maji katika eneo hilo.Kushoto kwake ni Mbunge wa Kongwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai.
Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Deo Ndejembi akizungumza wakati wa ziara ya Waziri wa Maji Prof Makame Mbarawa(Kushoto) kukagua miradi ya maji Wilayani Kongwa.Pembeni ya Waziri ni Mbunge wa Kongwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai.
Mbunge wa Kongwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai akizungumza na wananchi wa Kibaigwa (Hawapo pichani) wakati wa Ziara ya Waziri wa Maji Prof Makame Mbarawa kukagua miradi ya maji na kutatua changamoto mbalimbali za maji.
Waziri wa Maji Prof Makame Mbarawa akitoa tamko la kuivunja Bodi ya Maji Mji mdogo wa Kibaigwa kutokana na utendaji mbovu na kushindwa kutekeleza majukumu yake vyema.
Waziri wa Maji Prof Makame Mbarawa akizungumza wakati wa ziara yake ya kukagua miradi ya maji Wilayani Chamwino.Picha na Daudi Manongi,MAELEZO
Hivyo makala WAZIRI MBARAWA AIVUNJA BODI YA MAJI MJI MDOGO KIBAIGWA KWA UTENDAJI MBOVU
yaani makala yote WAZIRI MBARAWA AIVUNJA BODI YA MAJI MJI MDOGO KIBAIGWA KWA UTENDAJI MBOVU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MBARAWA AIVUNJA BODI YA MAJI MJI MDOGO KIBAIGWA KWA UTENDAJI MBOVU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/waziri-mbarawa-aivunja-bodi-ya-maji-mji.html
0 Response to "WAZIRI MBARAWA AIVUNJA BODI YA MAJI MJI MDOGO KIBAIGWA KWA UTENDAJI MBOVU"
Post a Comment