title : BILIONEA KIJANA MOHAMMED DEWJI APATIKANA.
kiungo : BILIONEA KIJANA MOHAMMED DEWJI APATIKANA.
BILIONEA KIJANA MOHAMMED DEWJI APATIKANA.

Bilionea kijana Afrika Mohammed Dewji ‘Mo’ aliyetekwa na watu wasiojulikana Oktoba 11,2018 amepatikana akiwa hai.
Taarifa zinasema kuwa Mo Dewji amepatikana alfajiri ya leo Jumamosi Oktoba 20, 2018.
Baba mzazi wa Mo Dewji, Gullam Dewji amesema,"Ni kweli Mo amepatikana, yupo hapa nyumbani."
Hivyo makala BILIONEA KIJANA MOHAMMED DEWJI APATIKANA.
yaani makala yote BILIONEA KIJANA MOHAMMED DEWJI APATIKANA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BILIONEA KIJANA MOHAMMED DEWJI APATIKANA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/bilionea-kijana-mohammed-dewji-apatikana.html
0 Response to "BILIONEA KIJANA MOHAMMED DEWJI APATIKANA."
Post a Comment