KUMBUKUMBU YA MPENDWA WETU EDMUND LAWRENCE MUSHI

KUMBUKUMBU YA MPENDWA WETU EDMUND LAWRENCE MUSHI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KUMBUKUMBU YA MPENDWA WETU EDMUND LAWRENCE MUSHI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KUMBUKUMBU YA MPENDWA WETU EDMUND LAWRENCE MUSHI
kiungo : KUMBUKUMBU YA MPENDWA WETU EDMUND LAWRENCE MUSHI

soma pia


KUMBUKUMBU YA MPENDWA WETU EDMUND LAWRENCE MUSHI

Kuzaliwa:07/12/1973 Kufariki:22/06/2015 


Leo 22/06/2018 Umetimiza miaka Mitatu tangu umefariki Huko Houston,TX,USA. Sisi ndugu zako umetuachia Huzuni na pengo ambalo halitazibika.Unakumbukwa sana na watoto zako Luis(Anwar) na Jermaine.

Unakumbukwa na Baba yako Mzazi mzee Lawrence Mushi Kimbori,Wadogo zako Rudolf(dofu),Gaudence,Fulgence,Renatus(Kulwa),Claudia,Martha(Dotto/Manka) na Mary(Mkakeni).

Unakumbukwa na Ukoo wote wa Kimbori na Massawe.Unakumbukwa na ndugu Jamaa na marafiki zako wote.
Pia Unakumbukwa na wanajumuiya wa Tanzania Houston Community (THC) Houston TX, USA.

Bwana alitoa, Bwana ametwaa 
Jina lake Lihimidiwe,
Amen.


Hivyo makala KUMBUKUMBU YA MPENDWA WETU EDMUND LAWRENCE MUSHI

yaani makala yote KUMBUKUMBU YA MPENDWA WETU EDMUND LAWRENCE MUSHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KUMBUKUMBU YA MPENDWA WETU EDMUND LAWRENCE MUSHI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/kumbukumbu-ya-mpendwa-wetu-edmund.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KUMBUKUMBU YA MPENDWA WETU EDMUND LAWRENCE MUSHI"

Post a Comment