BENKI WA SIMBA AJITOA KIKOSINI.

BENKI WA SIMBA AJITOA KIKOSINI. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BENKI WA SIMBA AJITOA KIKOSINI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BENKI WA SIMBA AJITOA KIKOSINI.
kiungo : BENKI WA SIMBA AJITOA KIKOSINI.

soma pia


BENKI WA SIMBA AJITOA KIKOSINI.



Kutokana na kukosa nafasi ya kusugua benchi wala kucheza beki wa kati wa timu ya Simba, Yusuf Mlipili ameamua kujiondoa katika timu hiyo.

Mlipili alijiunga na Simba msimu uliopita akitokea timu ya Toto Africans ya jijini Mwanza, anadaiwa kutimka zake katika kikosi hicho yapata wiki sasa.

Habari kutoka ndani ya Simba ziliezleza kuwa baada ya kuona hana nafasi ndani ya kikosi cha timu msimu huu tofauti na msimu uliopita ambao alikuwa yupo kikosi cha kwanza.

"Hata viongozi hawajui alipo kwa sababu kaondoka bila kutoa taarifa na sasa yapata wiki, mazoezi yote tuliyofanya ya kujiandaa dhidi ya Alliance FC, Stand United pamoja na Ruvu Shooting hakuwepo," kilieleza.

Kocha Mkuu Patrick Aussems alisema kuwa hana taarifa zake hivyo hawezi kumzunguzia mchezaji huyo


Hivyo makala BENKI WA SIMBA AJITOA KIKOSINI.

yaani makala yote BENKI WA SIMBA AJITOA KIKOSINI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BENKI WA SIMBA AJITOA KIKOSINI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/benki-wa-simba-ajitoa-kikosini.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BENKI WA SIMBA AJITOA KIKOSINI."

Post a Comment