title : BALOZI WA UGANDA AMUAGA- DK.SHEIN
kiungo : BALOZI WA UGANDA AMUAGA- DK.SHEIN
BALOZI WA UGANDA AMUAGA- DK.SHEIN
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Uganda Mhe.Dk.Aziz Ponary Mlima ayefika kumuaga Rais Ikulu Mjini Zanzibar leo,Balozi aliteuliwa hivi karibuni na Rais wa Jamhri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Uganda Mhe.Dk.Aziz Ponary Mlima alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kumuaga Rais,Balozi aliteuliwa hivi karibuni na Rais wa Jamhri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli
Picha na Ikulu
Hivyo makala BALOZI WA UGANDA AMUAGA- DK.SHEIN
yaani makala yote BALOZI WA UGANDA AMUAGA- DK.SHEIN Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BALOZI WA UGANDA AMUAGA- DK.SHEIN mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/balozi-wa-uganda-amuaga-dkshein.html
0 Response to "BALOZI WA UGANDA AMUAGA- DK.SHEIN"
Post a Comment