Siku Kadhaa Baada ya Rais Magufuli Kumpigia Simu..Mwana FA Afunguka Haya Mengine Yaliyojiri Baada ya Simu Kutoka kwa Rais

Siku Kadhaa Baada ya Rais Magufuli Kumpigia Simu..Mwana FA Afunguka Haya Mengine Yaliyojiri Baada ya Simu Kutoka kwa Rais - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Siku Kadhaa Baada ya Rais Magufuli Kumpigia Simu..Mwana FA Afunguka Haya Mengine Yaliyojiri Baada ya Simu Kutoka kwa Rais, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Siku Kadhaa Baada ya Rais Magufuli Kumpigia Simu..Mwana FA Afunguka Haya Mengine Yaliyojiri Baada ya Simu Kutoka kwa Rais
kiungo : Siku Kadhaa Baada ya Rais Magufuli Kumpigia Simu..Mwana FA Afunguka Haya Mengine Yaliyojiri Baada ya Simu Kutoka kwa Rais

soma pia


Siku Kadhaa Baada ya Rais Magufuli Kumpigia Simu..Mwana FA Afunguka Haya Mengine Yaliyojiri Baada ya Simu Kutoka kwa Rais


BAADA ya Rais Dk. John Magufuli kumpigia msanii Mwana FA na kupongeza wimbo wake, msanii huyo amesema ameguswa sana baada ya kupokea simu hiyo.

Mapema wiki hii, Mwana FA alipigiwa simu na Rais na kumpongeza kwa kufanya vizuri katika nyimbo zake ukiwemo unaotamba ‘Dume Suruali’ na kusisitiza huwa anazisikiliza sana.

Mwana FA amesema kuwa baada ya kupokea simu hiyo ameguswa sana na imempa kuzidi kujiamini kwa kazi anazozifanya.

“Ukweli simu yake imenigusa sana, unajua unapoona hata viongozi wanapenda kazi zako ujue unakubalika sana, simu yake imenifanya nione bado nina jukumu la kuzidi kufanya kazi nzuri zaidi ya hapa,” alisema Mwana FA.


Hivyo makala Siku Kadhaa Baada ya Rais Magufuli Kumpigia Simu..Mwana FA Afunguka Haya Mengine Yaliyojiri Baada ya Simu Kutoka kwa Rais

yaani makala yote Siku Kadhaa Baada ya Rais Magufuli Kumpigia Simu..Mwana FA Afunguka Haya Mengine Yaliyojiri Baada ya Simu Kutoka kwa Rais Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Siku Kadhaa Baada ya Rais Magufuli Kumpigia Simu..Mwana FA Afunguka Haya Mengine Yaliyojiri Baada ya Simu Kutoka kwa Rais mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/siku-kadhaa-baada-ya-rais-magufuli.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Siku Kadhaa Baada ya Rais Magufuli Kumpigia Simu..Mwana FA Afunguka Haya Mengine Yaliyojiri Baada ya Simu Kutoka kwa Rais"

Post a Comment