MBUNGE MAVUNDE AITAKA JAMII KUSHIRIKIANA NA SERIKALI NA VIONGOZI WAO KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO

MBUNGE MAVUNDE AITAKA JAMII KUSHIRIKIANA NA SERIKALI NA VIONGOZI WAO KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MBUNGE MAVUNDE AITAKA JAMII KUSHIRIKIANA NA SERIKALI NA VIONGOZI WAO KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MBUNGE MAVUNDE AITAKA JAMII KUSHIRIKIANA NA SERIKALI NA VIONGOZI WAO KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO
kiungo : MBUNGE MAVUNDE AITAKA JAMII KUSHIRIKIANA NA SERIKALI NA VIONGOZI WAO KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO

soma pia


MBUNGE MAVUNDE AITAKA JAMII KUSHIRIKIANA NA SERIKALI NA VIONGOZI WAO KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO

Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh Anthony Peter Mavunde amewataka wananchi wa Jimbo la Dodoma Mjini kushirikiana na serikali na Viongozi wao katika kujiletea maendeleo na kutoa wito kwa jamii kujitoa kwa dhati kuchangia maendeleo kama wanavyofanya kwenye shughuli mbalimbali za kijamii hasa katika sherehe mbalimbali zikiwemo harusi.

Mavunde ameyasema hayo jana wakati akiongoza mamia ya wananchi wa kata ya kikuyu kusini katika ujenzi wa vyumba vya madarasa leo Jijini Dodoma ambapo Mbunge huyo amechangia matofali 1000 na mifuko ya Saruji 130,Computer 1,Jezi na mipira pamoja kuweka magoli ya Chuma katika uwanja wa michezo uliopo katika Shule ya Msingi Kikuyu B.

Akimuunga mkono Mh Mavunde,Mbunge wa Jimbo la Bahi Mh Omary Badwell amewapongeza wananchi wa Kata ya Kikuyu Kusini kwa muitikio wao mkubwa kwenye shughuli za maendeleo na kuahidi kushirikia na Mh Mavunde kutatua changamoto za shule hiyo kwa kuchangia **mifuko 20 **ya Saruji iliyopo eneo ambalo na yeye ni mkazi wake na watoto wake pia wanasoma katika shule husika.

Aidha Diwani wa kata ya Kikuyu Kusini Mh Kutika amemshukuru Mbunge Mavunde kwa kusaidia kutatua kero hiyo ya ukosefu wa vyumba vya madarasa na hivyo ujenzi huo utasaidia kuboresha miundombinu ya shule hiyo na hivyo kuchukua wanafunzi wengi kwa wakati mmoja.
Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh Anthony Peter Mavunde akiongoza mamia ya wananchi wa kata ya kikuyu kusini katika ujenzi wa vyumba vya madarasa Jijini Dodoma, ambapo Mbunge huyo amechangia matofali 1000 na mifuko ya Saruji 130,Computer 1,Jezi na mipira pamoja kuweka magoli ya Chuma katika uwanja wa michezo uliopo katika Shule ya Msingi Kikuyu B.
Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh Anthony Peter Mavunde akishiriki ujenzi wa vyumba vya madarasa Jijini Dodoma, ambapo Mbunge huyo amechangia matofali 1000 na mifuko ya Saruji 130,Computer 1,Jezi na mipira pamoja kuweka magoli ya Chuma katika uwanja wa michezo uliopo katika Shule ya Msingi Kikuyu B.



Hivyo makala MBUNGE MAVUNDE AITAKA JAMII KUSHIRIKIANA NA SERIKALI NA VIONGOZI WAO KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO

yaani makala yote MBUNGE MAVUNDE AITAKA JAMII KUSHIRIKIANA NA SERIKALI NA VIONGOZI WAO KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MBUNGE MAVUNDE AITAKA JAMII KUSHIRIKIANA NA SERIKALI NA VIONGOZI WAO KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/mbunge-mavunde-aitaka-jamii.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MBUNGE MAVUNDE AITAKA JAMII KUSHIRIKIANA NA SERIKALI NA VIONGOZI WAO KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO"

Post a Comment