title : RAIS DKT MAGUFULI AMUUNGA MKONO MLEMAVU ARON MICHAEL
kiungo : RAIS DKT MAGUFULI AMUUNGA MKONO MLEMAVU ARON MICHAEL
RAIS DKT MAGUFULI AMUUNGA MKONO MLEMAVU ARON MICHAEL
Rais Dkt John Pombe Magufuli akizungumza jambo Mlemavu aitwaye Aron Michael Kipalilo ambaye ni mkazi wa kibondo mwenye ujuzi/fundi wa kushona nguo. Amekutana na Rais Magufuli na ameomba amshonee Kaunda Suti.Rais Dkt Magufuli yuko mkoani Kigoma kwa ziara ya siku tatu ya kikazi
Rais Dkt John Pombe Magufuli akifurahia jambo na mmoja wa Walemavu aitwaye Aron Michael Kipalilo ambaye ni mkazi wa kibondo mwenye ujuzi/fundi wa kushona nguo. Mlemavu huyo amekutana na Rais Dkt Magufuli amshonee Kaunda Suti.
Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI AMUUNGA MKONO MLEMAVU ARON MICHAEL
yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI AMUUNGA MKONO MLEMAVU ARON MICHAEL Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI AMUUNGA MKONO MLEMAVU ARON MICHAEL mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/rais-dkt-magufuli-amuunga-mkono-mlemavu.html
0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI AMUUNGA MKONO MLEMAVU ARON MICHAEL"
Post a Comment