title : Waandishi wa habari kisiwani Pemba wapewa ufafanuzi kuhusu maendeleo ya zoezi la utafiti wa mafuta na Gesi asilia
kiungo : Waandishi wa habari kisiwani Pemba wapewa ufafanuzi kuhusu maendeleo ya zoezi la utafiti wa mafuta na Gesi asilia
Waandishi wa habari kisiwani Pemba wapewa ufafanuzi kuhusu maendeleo ya zoezi la utafiti wa mafuta na Gesi asilia
Ofisa wa Kampuni ya Brunswick Resousles LTD, Deosdedit Hugho,akitowa ufafanuzi wa zoezi la utafiti wa mafuta na fesi asilia lilivyokwenda na linavyoendelea katika maeneo mengine sambamba na kuwashukuru Waandishi wa habari kwa ushirikiano wao.
Ofisa Mdhamini Wizara ya Ardhi, Nyumba , Maji na Nishati Pemba, Juma Bakar Alawi, akizungumza na Waandishi wa habari kuhusiana na zoezi la utafiti wa mafuta na Gesi asilia lianvyoendelea katika Kisiwa cha Pemba.
Ofisa mdhamini wizara ya Habari , Utalii na Mambo ya Kale Pemba, Khatib Juma Mjaja, akitowa ufafanuzi kwa Waandishi wa habari wa Vyombo mbali mbali kuhusiana na kuandika habari kuhusiana na mafuta na Gesi asilia katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Nyaraka Pemba.
PICHA NA HABIBA ZARALI -PEMBA.
Hivyo makala Waandishi wa habari kisiwani Pemba wapewa ufafanuzi kuhusu maendeleo ya zoezi la utafiti wa mafuta na Gesi asilia
yaani makala yote Waandishi wa habari kisiwani Pemba wapewa ufafanuzi kuhusu maendeleo ya zoezi la utafiti wa mafuta na Gesi asilia Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Waandishi wa habari kisiwani Pemba wapewa ufafanuzi kuhusu maendeleo ya zoezi la utafiti wa mafuta na Gesi asilia mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/waandishi-wa-habari-kisiwani-pemba.html
0 Response to "Waandishi wa habari kisiwani Pemba wapewa ufafanuzi kuhusu maendeleo ya zoezi la utafiti wa mafuta na Gesi asilia"
Post a Comment