VIONGOZI WA DUNIA WATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUTOKANA NA MAAFA YA MV NYERERE

VIONGOZI WA DUNIA WATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUTOKANA NA MAAFA YA MV NYERERE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa VIONGOZI WA DUNIA WATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUTOKANA NA MAAFA YA MV NYERERE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : VIONGOZI WA DUNIA WATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUTOKANA NA MAAFA YA MV NYERERE
kiungo : VIONGOZI WA DUNIA WATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUTOKANA NA MAAFA YA MV NYERERE

soma pia


VIONGOZI WA DUNIA WATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUTOKANA NA MAAFA YA MV NYERERE

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imeendelea kupokea salamu za rambirambi kutoka kwa marais, mawaziri wakuu wa mataifa mbalimbali duniani kwenda kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, kufuatia ajali ya kuzama kwa kivuko cha MV Nyerere iliyotokea kwenye Ziwa Victoria, Mkoani Mwanza tarehe 20 Septemba, 2018 na  kusababisha vifo, majeruhi na upotevu wa mali.
Baadhi ya salamu zilizopokelewa ni pamoja na kutoka kwa Rais wa Kenya, Mheshimiwa Uhuru Kenyatta, Rais wa Urusi, Mheshimiwa Vladmir Putin, Rais wa China, Mheshimiwa Xi Jinping, Rais wa Ujerumani, Mheshimiwa Frank-Walter Steinmeier, Rais wa Saharawi, Mheshimiwa Brahim Ghali, Mtawala wa Kuwait, Mtukufu Sheikh Sabah Al-Ahmad al Jaber Al-Sabah, Baba Mtakatifu, Papa Francis, Rais wa Italia, Mheshimiwa Sergio Mattarella, Rais wa Uturuki, Mheshimiwa Recep Tayyip Erdogan, Rais wa Finland, Mheshimiwa Sauli Niinistö, Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Mheshimiwa Joseph Kabila Kabange na Rais wa Jamhuri ya Sudan, Mheshimiwa Omar Hassan Ahmed Al-Bashir.  
Viongozi wengine ni Waziri Mkuu wa Israel, Mheshimiwa Benjamin Netanyahu, na Waziri Mkuu wa Sweden, Mheshimiwa Stefan Löfven. Viongozi hao wameeleza kusikitishwa kwao na taarifa za vifo vilivyosababishwa na  ajali hiyo na kuwatakia majeruhi kupona haraka.


Hivyo makala VIONGOZI WA DUNIA WATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUTOKANA NA MAAFA YA MV NYERERE

yaani makala yote VIONGOZI WA DUNIA WATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUTOKANA NA MAAFA YA MV NYERERE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala VIONGOZI WA DUNIA WATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUTOKANA NA MAAFA YA MV NYERERE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/viongozi-wa-dunia-watuma-salamu-za.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "VIONGOZI WA DUNIA WATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUTOKANA NA MAAFA YA MV NYERERE"

Post a Comment