LADY JAY DEE: WABONGO WANASHOBOKEA SANA WA NJE

LADY JAY DEE: WABONGO WANASHOBOKEA SANA WA NJE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa LADY JAY DEE: WABONGO WANASHOBOKEA SANA WA NJE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : LADY JAY DEE: WABONGO WANASHOBOKEA SANA WA NJE
kiungo : LADY JAY DEE: WABONGO WANASHOBOKEA SANA WA NJE

soma pia


LADY JAY DEE: WABONGO WANASHOBOKEA SANA WA NJE

Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo Flava, Lady Jay Dee amesema wabongo wanapenda sana kushobokea wasanii wa nje kuliko wale walionao ndani, Jay Dee ametoa kauli hiyo kupitia kipindi cha The Finest kinachorushwa na Redio 92.9 A. FM yenye maskani yake mjini Dodoma.

Lady Jay Dee alisema, Madj na Mapresenter wa Tanzania, wanapiga sana nyimbo za nje kuliko za bongo, na pia Wasanii wa Tanzania wamekuwa wanafuata upepo ulipo katika kazi zao, ukija mtindo wa Nigeria wanaimba kama nigeria, ikija ya south wanaimba kama wao, hivyo bongo flava haijui identity yake ni ipi.

Lady Jay Dee amesema hataki mazoea na watu asiowajua na ndio mana watu wengi wamekuwa wakisema kuwa anaringa ila si kweli.

Jay Dee ameongeza kuwa yeye sio muongeaji na huwa ni vigumu  sana kwake kupiga mastory na mtu ambaye hajamzoea, japo salamu anatoa.

Hata hivyo kwa mara nyingine tena mwanadada huyu atafanya vitu vyake akiwa na mpenzi wake Spicy and the band Siku ya leo Eid mosi ndani ya kiota kipya cha Burudani Dodoma Capetown , akisindikizwa na mkali wa singeli Msaga Sumu na Nay wa Mitego.


Hivyo makala LADY JAY DEE: WABONGO WANASHOBOKEA SANA WA NJE

yaani makala yote LADY JAY DEE: WABONGO WANASHOBOKEA SANA WA NJE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala LADY JAY DEE: WABONGO WANASHOBOKEA SANA WA NJE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/lady-jay-dee-wabongo-wanashobokea-sana.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "LADY JAY DEE: WABONGO WANASHOBOKEA SANA WA NJE"

Post a Comment