BREAKING NYUZZZZ.......: Mahakama Kuu nchini Kenya yabatilisha Ushindi wa Rais Uhuru Kenyatta

BREAKING NYUZZZZ.......: Mahakama Kuu nchini Kenya yabatilisha Ushindi wa Rais Uhuru Kenyatta - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BREAKING NYUZZZZ.......: Mahakama Kuu nchini Kenya yabatilisha Ushindi wa Rais Uhuru Kenyatta, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BREAKING NYUZZZZ.......: Mahakama Kuu nchini Kenya yabatilisha Ushindi wa Rais Uhuru Kenyatta
kiungo : BREAKING NYUZZZZ.......: Mahakama Kuu nchini Kenya yabatilisha Ushindi wa Rais Uhuru Kenyatta

soma pia


BREAKING NYUZZZZ.......: Mahakama Kuu nchini Kenya yabatilisha Ushindi wa Rais Uhuru Kenyatta

MAHAKAMA Kuu nchini Kenya (Supreme Court), imebatilisha ushindi wa uRais wa Rais wa sasa Uhuru Kenyatta, dhidi ya mpinzani wake mkuu Raira Odinga, na kuamuru uchaguzi huo urudiwe ndani ya siku 60 kuanzia leo Septemba 1, 2017. 

Mahakama hiyo imefikia uamuzi huo, kufuatia maombi ya Mgombea Urais wa Muungano wa upinzani wa NASA, Raila Odinga baada ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa Rais, uliompa ushindi Rais Kenyatta. 

Katika maombi yake,  Odinga alisema, kura zake zilipunguzwa kwenye baadhi ya vituo na kuongezewa mpinzani wake, lakini kubwa zaidi ni kukiukwa kwa taratibu za uchaguzi ambapo baadhi ya fomu muhimu za matokeo ya uchaguzi kama vile fomu namba 34A,B na C, hazikupatikana siku ya kutangazwa kwa matoko. 

Katika uamuzi wa mahakama hiyo, majaji wanne kati ya sita (6), wamekubaliana kuwa tume huru ya uchaguzi na mipaka ya Kenya, (IEBC), imeshindwa kusimamia vema uchaguzi huo na hivyo kusababisha kasoro kadhaa ambazo zinakwenda kinyume na katiba ya Kenya. Hata hivyo, Mahakama hiyo imesema, hakuna ushahidi wowote, ulioonyesha kuwa Rais Uhuru Kenyatta, alitenda makosa katika mchakato huo wa uchaguzi.


Hivyo makala BREAKING NYUZZZZ.......: Mahakama Kuu nchini Kenya yabatilisha Ushindi wa Rais Uhuru Kenyatta

yaani makala yote BREAKING NYUZZZZ.......: Mahakama Kuu nchini Kenya yabatilisha Ushindi wa Rais Uhuru Kenyatta Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING NYUZZZZ.......: Mahakama Kuu nchini Kenya yabatilisha Ushindi wa Rais Uhuru Kenyatta mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/breaking-nyuzzzz-mahakama-kuu-nchini.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "BREAKING NYUZZZZ.......: Mahakama Kuu nchini Kenya yabatilisha Ushindi wa Rais Uhuru Kenyatta"

Post a Comment