title : VETA KUJENGA CHUO CHA UFUNDI STADI MKOANI RUKWA
kiungo : VETA KUJENGA CHUO CHA UFUNDI STADI MKOANI RUKWA
VETA KUJENGA CHUO CHA UFUNDI STADI MKOANI RUKWA
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Dkt Halfan Haule akizungumza katika Hafla ya kukabidhiana eneo la ujenzi wa Chuo cha VETA mkoani Rukwa.
Mwakilishi wa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu naMafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) Adelina Macha akitoa taarifa za kuhusiana na mipango ya ujenzi ya Chuo cha VETA mkoani Rukwa.
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Dkt Halfan Haule akiwa katika picha ya pamoja na watendaji wa VETA Kanda VETA Makao Makuu na Viongozi mbalimbali wa Mkoa.
Kaimu Mkurugenzi wa Soko la Ajira VETA, Hildergardis Bitegera akikabidhi mchoro wa ramani ya Jengo la Chuo VETA Rukwa kwa Mkandarasi atakayejenga Chuo hicho.
Na David Edward, VETA.
KAIMU Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Dkt Halfan Haule amesema kuwa Mkoa wa Rukwa ulikuwa na uhitaji wa Chuo cha mafunzo ya Ufundi Stadi ili kuwazesha wanannchi wa mkoa huo kupata ujuzi wa ufundi kwa maendeleo ya mkoa na Taifa kwa ujumla.
Dkt Halfan Haule aliyasema wakati wa makabidhiano ya eneo la ujenzi wa Chuo cha VETA mkoani Rukwa katika hafla ya makabidhiano uliofanyika wilayani Sumbawanga mkoani Rukwa, amesema vijana wa Mkoa wa Rukwa ni fursa kupata mafunzo ya ujuzi na kuweza kujiajiri au kujiariwa.
Amesema wanaishukuru serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Dk.John Pombe Magufuli kutatua tatizo upatikaji wa chuo cha mafunzo ya Ufundi Stadi mkoani humo.
Amesema vijana watapata ujuzi wa kusindika mazao mbalimbali na maendeleo yatapatikana kupitia usindikaji ambao utaogeza thamani ya mazao.
Hivyo makala VETA KUJENGA CHUO CHA UFUNDI STADI MKOANI RUKWA
yaani makala yote VETA KUJENGA CHUO CHA UFUNDI STADI MKOANI RUKWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala VETA KUJENGA CHUO CHA UFUNDI STADI MKOANI RUKWA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/veta-kujenga-chuo-cha-ufundi-stadi.html
0 Response to "VETA KUJENGA CHUO CHA UFUNDI STADI MKOANI RUKWA"
Post a Comment