TFS IMESABABISHA MACHO YA WASHIRIKI SHINDANO LA MISS TANZANIA 2018 KUYAONA AMBAYO HAWAJAWAHI KUYAONA

TFS IMESABABISHA MACHO YA WASHIRIKI SHINDANO LA MISS TANZANIA 2018 KUYAONA AMBAYO HAWAJAWAHI KUYAONA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TFS IMESABABISHA MACHO YA WASHIRIKI SHINDANO LA MISS TANZANIA 2018 KUYAONA AMBAYO HAWAJAWAHI KUYAONA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TFS IMESABABISHA MACHO YA WASHIRIKI SHINDANO LA MISS TANZANIA 2018 KUYAONA AMBAYO HAWAJAWAHI KUYAONA
kiungo : TFS IMESABABISHA MACHO YA WASHIRIKI SHINDANO LA MISS TANZANIA 2018 KUYAONA AMBAYO HAWAJAWAHI KUYAONA

soma pia


TFS IMESABABISHA MACHO YA WASHIRIKI SHINDANO LA MISS TANZANIA 2018 KUYAONA AMBAYO HAWAJAWAHI KUYAONA

Na Said Mwishehe,Globu ya jamii
MOJA ya kauli ambayo nimeisikia zaidi ya mara moja ikitamkwa na washiriki wa Shindano la Miss Tanzania mwaka 2018 ni ile inayoonesha kutoa shukrani zao za dhati kwa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania(TFS).

Warembo hao waliombwa na Molla wao wakaumbika hawakuwa na shaka hata kidogo kupaza sauti zao kwa madaha na madoido wakisema Tanzania yetu, Misitu yetu, Fahari yetu, Utembo oyeee na kisha wanamalizia kwa kusema TFS oyeee... Unajua kwanini?Iko hivi TFS ambayo ipo chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii iliamua kuwapeleka warembo hao kwenye Hifadhi ya Mazingira ya Msitu Asili wa Amani iliyopo mkoani Tanga.

Hifadhi hiyo ipo katika Wilaya ya Muheza .Ipo umbali wa kilometa 35 kutoka Muheza Mjini.Hivyo ni hifadhi ambayo haiko mbali saaana lakini kwa vivutio vilivyopo kwenye hifadhi hiyo hata ingekuwa mbali kiasi gani ningekushauri ufike ujioonee mwenyewe. Nzuri na hivi TFS wanavyojua kutunza hifadhi zetu hadi raha.Nenda Mtanzania mwenzangu ukaone vilivyomo.

Kwa kukumbusha tu ukubwa wa hifadhi hiyo ni hekta 8380 .Ni eneo kubwa na ukweli ni kwamba TFS wameonesha kufanya kazi nzuri ya kuhakikisha hifadhi hiyo inatunzwa kama ambavyo wamekuwa wakifanya kwenye hifadhi nyingi za misiti ambayo wamepewa jukumu la kuhakikisha iko salama.

Safari ya warembo hao kwenda katika hifadhi hiyo ilianza katika Hoteli ya Serene jijini Dar es Salaam.Kama kumbukumbu zangu ziko sawa safari ilianzaa saa 10 alfajiri.Kwa picha ya haraka haraka ni kwamba warembo hao walianza maandalizi ya safari hiyo usiku wa manane.Haikuwa tatizo kwao kuhusu muda wa kuondoka.

Wakiwa kwenye basi kubwa lenye hadhi ya kubeba warembo ambapo miongoni mwao ndimo atapatikana Miss Tanzania mwaka 2018 ifikapo Septemba 8 mwaka huu safari ilianza kwa mwendo ambao hata askari wa Usalama Barabarani akiuona anasema kweli dereva anafuata sheria za ulama barabarani.Hakuna sababu ya trafiki kumulika tochi.

Naomba nieleze kidogo kabla ya kuendelea zaidi. Sababu ya kuandaliwa kwa safari hiyo ni kwamba mkakati wa TFS ni kuhakikisha warembo mbali ya kwenda katika hifadhi hiyo pia wanapata nafasi ya kushuhudia vivutio vya utalii ambavyo watakutana navyo wakati wanaelekea huko.

Naishukuru TFS kwa kutambua nafasi ya warembo hao katika kuutangaza hifadhi zilizopo nchini pamoja na utalii uliopo kwwnye hifadhi hizo na ule ambao upo nje ya hifadhi.Pia naishukuru TFS kwasababu iliona haja ya kuwa na waandishi ambao nao watashuhudia hifadhi hiyo na utalii uliopo na kisha kwa kutumia kalamu zao ili kuandika maandishi ambayo yatafikisha ujumbe mmoja tu wenye lengo la kuhamasisha watalii wa ndani na nje ya nchi yetu kutembelea vivutio vilivyopo. 

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala TFS IMESABABISHA MACHO YA WASHIRIKI SHINDANO LA MISS TANZANIA 2018 KUYAONA AMBAYO HAWAJAWAHI KUYAONA

yaani makala yote TFS IMESABABISHA MACHO YA WASHIRIKI SHINDANO LA MISS TANZANIA 2018 KUYAONA AMBAYO HAWAJAWAHI KUYAONA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TFS IMESABABISHA MACHO YA WASHIRIKI SHINDANO LA MISS TANZANIA 2018 KUYAONA AMBAYO HAWAJAWAHI KUYAONA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/tfs-imesababisha-macho-ya-washiriki.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "TFS IMESABABISHA MACHO YA WASHIRIKI SHINDANO LA MISS TANZANIA 2018 KUYAONA AMBAYO HAWAJAWAHI KUYAONA"

Post a Comment