title : Vanesa Mdee atumia mitandao ya jamii kushawishi kampuni ya Zola Tanzania kufunga umeme wa solar Arusha Girls
kiungo : Vanesa Mdee atumia mitandao ya jamii kushawishi kampuni ya Zola Tanzania kufunga umeme wa solar Arusha Girls
Vanesa Mdee atumia mitandao ya jamii kushawishi kampuni ya Zola Tanzania kufunga umeme wa solar Arusha Girls
Na Ibrahim othman Jama, Arusha
Msanii Vanessa Bdee amefanikiwa tumia mitandao ya kijamii katika shughuli zake kuhakikisha kuwa anamtafuta mfadhili wa kusambaza umeme wa solar power kwa shule ya bweni ya Arusha Girls iliyopo wilaya ya Arusha mjini. Tayari kampuni ya Zola Tanzania imefunga umeme wa solar shuleni hapo kwa guarantee ya miaka mitano.
"Shukran za kipekee zimfikie Mkuu wa wilaya ya arusha mjini Mhe. Gabriel Daqaro pamoja na katibu tawala wilaya ya Arusha mjini ndugu David Mwakiposa kwa kusaidi kufanikisha hili.
"Tunamshkuru Mungu kwa hili na pia niwashukuru uongozi wa shule, afisa elimu wilaya na msanii vanessa mdee, kampuni ya zola ofisi ya mkurugenzi pamoja na ofisi ya mkuu wa wilaya kwa kuniamini kuratibu shughuli hii katika wilaya yetu na kuwa kiunganishi katika hili mpaka kuweza kutimiza jambo hili la kheri" amesema mratibu wa Zola Tanzania
Msanii Vanessa Mdee akiongozana na Mkuu wa wilaya ya arusha mjini Mhe. Gabriel Daqaro wakijiandaa kukata utepe wakishuhudiwa na katibu tawala wilaya ya Arusha mjini ndugu David Mwakiposa na wawakilishi wa kampuni ya Zola Tanzania kwenye moja ya mabweni ya shule ya sekondari ya Arusha Girls wakati wa kuzindua mradi wa umeme wa Solar shuleni hapo.Hivyo makala Vanesa Mdee atumia mitandao ya jamii kushawishi kampuni ya Zola Tanzania kufunga umeme wa solar Arusha Girls
yaani makala yote Vanesa Mdee atumia mitandao ya jamii kushawishi kampuni ya Zola Tanzania kufunga umeme wa solar Arusha Girls Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Vanesa Mdee atumia mitandao ya jamii kushawishi kampuni ya Zola Tanzania kufunga umeme wa solar Arusha Girls mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/vanesa-mdee-atumia-mitandao-ya-jamii.html
0 Response to "Vanesa Mdee atumia mitandao ya jamii kushawishi kampuni ya Zola Tanzania kufunga umeme wa solar Arusha Girls"
Post a Comment