title : MADHIMISHO YA MIAKA 54 YA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA PAMOJA NA MIAKA 42 YA CHUO CHA KIJESHI(TMA)MONDULI
kiungo : MADHIMISHO YA MIAKA 54 YA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA PAMOJA NA MIAKA 42 YA CHUO CHA KIJESHI(TMA)MONDULI
MADHIMISHO YA MIAKA 54 YA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA PAMOJA NA MIAKA 42 YA CHUO CHA KIJESHI(TMA)MONDULI
Madhimisho ya miaka 54 ya jeshi la wananchi na Miaka 42 ya chuo cha mafunzo ya kijeshi Monduli(TMA) yaliadhimishwa Jumamosi katika uwanja wa Bomani na kuongozwa na Mgeni rasmi Mkuu wa wilaya ya Monduli Mhe. Idd Hassan Kimanta na Mkuu wa chuo cha mafunzo ya kijeshi monduli Brigedia Jenerali Stephen Justice Mnkande.
Mkuu wa wilaya Monduli na Brigedia jenerali Mnkande waliongoza mamia ya askari na Raia katika matembezi ya miguu kilomita nne katika mji wa Monduli wakiwa na brass band ya jeshi.
Katika kuadhimisha Siku hiyo muhimu kwa jeshi la wananchi wa Tanzania waliadhimisha kwa kufanya michezo mbalimbali kama Mpira wa miguu,Netiboli,Kuvuta kamba na Mchezo wa kukimbiza kuku.
Mkuu wa wilaya akiongea amelishukuru Jeshi hilo kwa ushirikiano mkubwa wa mara kwa mara katika kujitolea katika shughuli za kijamii na kudumisha umoja wao kwani wanajeshi Monduli na raia ni wamoja.
Mkuu wa wilaya ya Monduli Mhe. Idd Hassan Kimanta na Mkuu wa chuo cha mafunzo ya kijeshi monduli Brigedia Jenerali Stephen Justice Mnkande wakiongoza mamia ya askari na raia katika matembezi ya miguu kilomita nne katika mji wa Monduli Jumamosi Agosti 2, 2018
Mkuu wa wilaya ya Monduli Mhe. Idd Hassan Kimanta na Mkuu wa chuo cha mafunzo ya kijeshi monduli Brigedia Jenerali Stephen Justice Mnkande wakiongoza mamia ya askari na raia katika matembezi ya miguu kilomita nne katika mji wa Monduli
Mkuu wa wilaya ya Monduli Mhe. Idd Hassan Kimanta na Mkuu wa chuo cha mafunzo ya kijeshi monduli Brigedia Jenerali Stephen Justice Mnkande wakiongoza mamia ya askari na raia katika mazoezi ya viungo baada ya matembezi ya miguu kilomita nne katika mji wa Monduli
Mkuu wa wilaya ya Monduli Mhe. Idd Hassan Kimanta akihutubia mamia ya askari na raia baada ya matembezi ya miguu kilomita nne katika mji wa Monduli
Mkuu wa chuo cha mafunzo ya kijeshi monduli Brigedia Jenerali Stephen Justice Mnkande akiongea na mamia ya askari na raia baada ya matembezi ya miguu kilomita nne katika mji wa Monduli |
Sehemu ya mamia ya askari na raia baada ya matembezi ya miguu kilomita nne katika mji wa Monduli
Hivyo makala MADHIMISHO YA MIAKA 54 YA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA PAMOJA NA MIAKA 42 YA CHUO CHA KIJESHI(TMA)MONDULI
yaani makala yote MADHIMISHO YA MIAKA 54 YA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA PAMOJA NA MIAKA 42 YA CHUO CHA KIJESHI(TMA)MONDULI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MADHIMISHO YA MIAKA 54 YA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA PAMOJA NA MIAKA 42 YA CHUO CHA KIJESHI(TMA)MONDULI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/madhimisho-ya-miaka-54-ya-jeshi-la.html
0 Response to "MADHIMISHO YA MIAKA 54 YA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA PAMOJA NA MIAKA 42 YA CHUO CHA KIJESHI(TMA)MONDULI"
Post a Comment