UVCCM MKOANI TANGA YAWEKA KAMBI UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA YA MUHEZA

UVCCM MKOANI TANGA YAWEKA KAMBI UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA YA MUHEZA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UVCCM MKOANI TANGA YAWEKA KAMBI UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA YA MUHEZA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UVCCM MKOANI TANGA YAWEKA KAMBI UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA YA MUHEZA
kiungo : UVCCM MKOANI TANGA YAWEKA KAMBI UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA YA MUHEZA

soma pia


UVCCM MKOANI TANGA YAWEKA KAMBI UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA YA MUHEZA

 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi(UVCCM) Mkoani Tanga,Omari Mwanga akizungumza wakati wa  ghafla ya uzinduzi wa kambi ya Vijana wa chama hicho kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa Hospitali ya wilaya ya Muheza ambapo  mgeni rasmi Mbunge wa Muheza (CCM) Balozi Adadi Rajabu alisema ushirikiano uliofanywa na vijana hao wa kushiriki katika mradi mkubwa kama huo ni jambo la
kuigwa nchi nzima.
 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Muheza Like Gugu akizungumza kulia ni Mbunge wa Jimbo la Muheza Balozi Adadi Rajabu na Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Tanga Omari Mwanga kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Muheza Mhandisi Mwanasha Tumbo.
VIJANA wa UVCCM Mkoani Tanga wakiendelea na ujenzi
 Mbunge wa Jimbo la Muheza (CCM) Balozi Adadi Rajabu katikati akimsikiliza Mkuu wa wilaya ya Muheza Mhandisi Mwanasha Tumbo kushoto kulia ni Mwenyekiti wa UVCCM mkoani Tanga Omari Mwanga.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI


Hivyo makala UVCCM MKOANI TANGA YAWEKA KAMBI UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA YA MUHEZA

yaani makala yote UVCCM MKOANI TANGA YAWEKA KAMBI UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA YA MUHEZA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UVCCM MKOANI TANGA YAWEKA KAMBI UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA YA MUHEZA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/uvccm-mkoani-tanga-yaweka-kambi-ujenzi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UVCCM MKOANI TANGA YAWEKA KAMBI UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA YA MUHEZA"

Post a Comment