DIWANI WA KATA YA VINGUNGUTI OMARY KUMBILA MOTO ,AMWAGA MISAADA ZAHANATI YA VINGUNGUTI

DIWANI WA KATA YA VINGUNGUTI OMARY KUMBILA MOTO ,AMWAGA MISAADA ZAHANATI YA VINGUNGUTI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DIWANI WA KATA YA VINGUNGUTI OMARY KUMBILA MOTO ,AMWAGA MISAADA ZAHANATI YA VINGUNGUTI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DIWANI WA KATA YA VINGUNGUTI OMARY KUMBILA MOTO ,AMWAGA MISAADA ZAHANATI YA VINGUNGUTI
kiungo : DIWANI WA KATA YA VINGUNGUTI OMARY KUMBILA MOTO ,AMWAGA MISAADA ZAHANATI YA VINGUNGUTI

soma pia


DIWANI WA KATA YA VINGUNGUTI OMARY KUMBILA MOTO ,AMWAGA MISAADA ZAHANATI YA VINGUNGUTI

Mwambawahabari
 Naibu Meya Manispaa ya Ilala na Diwani wa Vingunguti , Omary Kumbilamaoto akikabidhi kifaa cha kupimia Pumu kwa  Afisa Habari wa Manispaa ya Ilala, Tabu Shaibu, kwa ajili ya Zahanati ya Vingunguti.
Naibu Meya Manispaa ya Ilala na Diwani wa Vingunguti , Omary Kumbilamaoto akikabidhi Vifaa vya Kujifungulia wajawazito  kwa  Afisa Habari wa Manispaa ya Ilala, Tabu Shaibu, kwa ajili ya Zahanati ya Vingunguti.
Naibu Meya Manispaa ya Ilala na Diwani wa Vingunguti , Omary Kumbilamaoto akizungumza kabla ya kukabidhi kifaa cha kupima pumu pamoja na Vifaa vya Kujifungulia katika Zahanati ya Vingunguti , ambayo Wanawake hufika hapo bila ya kuwa na Vifaa vya kujifungilia, hivyo  vitaweza kuwasaidia wale ambao hawana uwezo wa kununua vifaa hivyo.

Afisa Habari wa Manispaa ya Ilala, Tabu Shaibu, akizungumza katika tukio  hilo la kukabidhi vifaa katika Zahanati ya Vingunguti Leo jijini Dar es Salaam,Ambapo amemshukuru Naibu Meya wa Ilala kwa JItihada zake kwa wananchi na kuweza kuwatatulia changamoto mbalimbali zinazowakumba.

Mganga mfawidhi  Zahanati hiyo  Dkt. Chiku  Simba akizungumza na kusema kuwa wanatoa shukurani kwa Naibu Meya kwa mchango mkubwa katika Zahanati hiyo, na kuahidi kufanya kazi kwa ueledi ya kuwahudumia wananchi.


 Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Vingunguti, Sharif Mbulu akizungumza na  kushukuru mara baada ya kupokea Vifaa  kwa ajili ya Hospitali ya Vingunguti.

Meya Manispaa ya Ilala na Diwani wa Vingunguti , Omary Kumbilamaoto na  Afisa Habari wa Manispaa ya Ilala, Tabu Shaibu, wakikabidhi Mbuzi  kwa ajili ya  Madkatari na wauguzi wa Zahanati ya Vingunguti


Hivyo makala DIWANI WA KATA YA VINGUNGUTI OMARY KUMBILA MOTO ,AMWAGA MISAADA ZAHANATI YA VINGUNGUTI

yaani makala yote DIWANI WA KATA YA VINGUNGUTI OMARY KUMBILA MOTO ,AMWAGA MISAADA ZAHANATI YA VINGUNGUTI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DIWANI WA KATA YA VINGUNGUTI OMARY KUMBILA MOTO ,AMWAGA MISAADA ZAHANATI YA VINGUNGUTI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/diwani-wa-kata-ya-vingunguti-omary.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "DIWANI WA KATA YA VINGUNGUTI OMARY KUMBILA MOTO ,AMWAGA MISAADA ZAHANATI YA VINGUNGUTI"

Post a Comment