Kampuni ya Marafiki Tanzania Charity yazindua siku ya Matendo mema

Kampuni ya Marafiki Tanzania Charity yazindua siku ya Matendo mema - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kampuni ya Marafiki Tanzania Charity yazindua siku ya Matendo mema, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kampuni ya Marafiki Tanzania Charity yazindua siku ya Matendo mema
kiungo : Kampuni ya Marafiki Tanzania Charity yazindua siku ya Matendo mema

soma pia


Kampuni ya Marafiki Tanzania Charity yazindua siku ya Matendo mema

KAMPUNI ya Marafiki Tanzania Charity yazindua siku ya Matendo mema (Good Deeds Day) ambayo kidunia itafanyika Aprili 7,2019.

Siku hii ya matendo mema itahusisha uchangiaji wa vitu mbalimbali pamoja na huduma kwa watu wenye mahitaji katika jamii yetu.

Akizungumza katika uzinduzi wa siku ya matendo mema Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mungano na Mazingira, January Makamba ambaye pia amechaguliwa kuwa mlezi wa Marafiki Tanzania Charity amewaomba wananchi kujiunga na Marafiki Tanzania Charity ili kuweza kufanikisha kuchangia vitu mbalimbali ikiwa pamoja na huduma kwaajili ya wahitaji katika jamii yetu.

Pia Makamba amewaomba wanamarafiki Tanzania Charity kutumia Lugha ya Kiswahili ambayo inaeleweka kwa kila mtanzania ili kuongeza wana marafiki Tanzania kuwa wengi zaidi.

Nae Paroko Msaidizi wa Parokia ya Bikira Maria Mama wa Mwokozi-Sinza na Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Padre Josephat Mhozya amehamasisha kila mtu kutenda matendo mema.

"Kutenda matendo mema ni Ibada kwahiyo watanzania tutende matendo mema kwakuwa tukitenda matendo mema tutalipwa na mwenyezi Mungu" Amesema Mhozya.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mungano na Mazingira, January Makamba ambaye ambaye ni Mlezi wa Marafiki Tanzania Cahrity akizungumza wakati wa uzinduzi wa siku ya Matendo mema (Good Deeds Day)ambayo itahusisha uchangiaji wa vitu mbalimbali kwaajili ya kuwapa wahitaji mbalimbali hapa nchini. Uzinduzi huo umefanyika na Kampuni isiyo ya kiserikali (NGOs) ya Marafiki Tanzania Charity iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam leo.
Mwenyekiti Marafiki Tanzanua Charity, Emmanuel Makundi akizungumza katika uzinduzi wa siku ya Matendo mema (Good Deeds Day)ambayo itahusisha uchangiaji wa vitu mbalimbali kwaajili ya wahitaji pamoja na huduma ambazo zinahitaji na wahitaji mbalimbali hapa nchini.

Afisa Uhusiano wa Kampuni ya Marafiki Tanzania Charity, Francisca Binayamungu akizungumza katika uzinduzi wa siku ya Matendo mema (Good Deeds Day)ambayo itahusisha uchangiaji wa vitu mbalimbali kwaajili ya kuwapa wahitaji mbalimbali hapa nchini. Uzinduzi huo umefanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam leo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mungano na Mazingira, January Makamba ambaye ambaye ni Mlezi wa Marafiki Tanzania Cahrity akiwa kwenye picha ya pamoja na wanamarafiki Tanzania Charity na watu mbalimbali waliohudhulia uzinduzi wa siku ya Matendo Mema. Siku ya matendo Mema tafanyika Aprili 7, 2019 duniani kote.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mungano na Mazingira, January Makamba ambaye ambaye ni Mlezi wa Marafiki Tanzania Charity akiwa katika picha ya Pamoja na wanamarafiki Tanzania Charity mara baada ya kumaliza uzinduzi wa siku ya Matendo Mema (Good Geeds Day) uzinduzi uliofanyika katika ukumbi wa amikutano wa mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Picha na Avila Kakingo, Globu ya Jamii.


Hivyo makala Kampuni ya Marafiki Tanzania Charity yazindua siku ya Matendo mema

yaani makala yote Kampuni ya Marafiki Tanzania Charity yazindua siku ya Matendo mema Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kampuni ya Marafiki Tanzania Charity yazindua siku ya Matendo mema mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/kampuni-ya-marafiki-tanzania-charity.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Kampuni ya Marafiki Tanzania Charity yazindua siku ya Matendo mema"

Post a Comment