title : SERIKALI KUUNDA KIKOSI KAZI KUPAMBANA NA MIMEA VAMIZI
kiungo : SERIKALI KUUNDA KIKOSI KAZI KUPAMBANA NA MIMEA VAMIZI
SERIKALI KUUNDA KIKOSI KAZI KUPAMBANA NA MIMEA VAMIZI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira January Makamba akifungua mkutano wa wadau wa Mazingira Jijini Arusha. Mkutano huo umeshirikisha wadau mbalimbali kutoka Taasisi za Serikali na zile zisizo za kiserikali kwa lengo la kujadili changamoto ya mimea vamizi yenye athari hapa nchini.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira January Makamba akifuatilia mawasilisho ya mimea vamizi kutoka kwa Mtaalamu wa COSTECH (hayupo pichani). Kulia ni Mhe. Nape Nnauye Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi na Maliasili.
Sehemu ya Washiriki wa Mkutano wa wadau wa kujadili changamoto za mimea vamizi. Mkutano umefanyika katika ukumbi wa AICC jijini Arusha. Mstari wa mbele katika picha ni waheshimiwa wabunge waliohudhuria.
Hivyo makala SERIKALI KUUNDA KIKOSI KAZI KUPAMBANA NA MIMEA VAMIZI
yaani makala yote SERIKALI KUUNDA KIKOSI KAZI KUPAMBANA NA MIMEA VAMIZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI KUUNDA KIKOSI KAZI KUPAMBANA NA MIMEA VAMIZI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/serikali-kuunda-kikosi-kazi-kupambana.html
0 Response to "SERIKALI KUUNDA KIKOSI KAZI KUPAMBANA NA MIMEA VAMIZI"
Post a Comment