title : RAIS MAGUFULI AKIAGANA NA SPIKA MSTAAFU PIUS MSEKWA
kiungo : RAIS MAGUFULI AKIAGANA NA SPIKA MSTAAFU PIUS MSEKWA
RAIS MAGUFULI AKIAGANA NA SPIKA MSTAAFU PIUS MSEKWA
Rais Dkt John Pombe Magufuli akiagana na wenyeji wake spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Pius Msekwa kulia,Ikulu ndogo,Nansio Ukerewe,Mkoani Mwanza. Septemba 5,2018.
Rais Dkt John Pombe Magufuli akiagana na wenyeji wake Mke wa Spika msaafu Pius Msekwa Mama Anna Abdallah Msekwa,Ikulu ndogo,Nansio Ukerewe,Mkoani Mwanza. Septemba 5,2018. Kushoto ni spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Pius Msekwa.
Rais Dkt John Pombe Magufuli akiwa amewashika mikono wenyeji wake spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Pius Msekwa na Mkewe Mama Anna Abdallah Msekwa,Ikulu ndogo,Nansio Ukerewe,Mkoani Mwanza. Septemba 5,2018.
Rais Dkt John Pombe Magufuli akizungumza jambo na mwenyeji wake spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Pius Msekwa Ikulu ndogo,Nansio Ukerewe,Mkoani Mwanza. Septemba 5,2018.
Hivyo makala RAIS MAGUFULI AKIAGANA NA SPIKA MSTAAFU PIUS MSEKWA
yaani makala yote RAIS MAGUFULI AKIAGANA NA SPIKA MSTAAFU PIUS MSEKWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS MAGUFULI AKIAGANA NA SPIKA MSTAAFU PIUS MSEKWA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/rais-magufuli-akiagana-na-spika-mstaafu.html
0 Response to "RAIS MAGUFULI AKIAGANA NA SPIKA MSTAAFU PIUS MSEKWA"
Post a Comment