title : PRINCE WILIAM ATEMBELEA BANDARI YA DAR ES SALAAM.
kiungo : PRINCE WILIAM ATEMBELEA BANDARI YA DAR ES SALAAM.
PRINCE WILIAM ATEMBELEA BANDARI YA DAR ES SALAAM.
Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko, kushoto, akimkaribisha Mjukuu wa Malkia wa Uingereza, Prince William bandarini mara baada ya kufanya ziara ya kujionea utendaji wa Bandari ya Dar es Salaam jana. Price William yupo nchini kwa ziara maalumu ya siku tatu. Pembeni ya Mhandisi Kakoko ni Waziri wa katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi.
Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko, katikati, akitazama sanamu ya Twiga aliyomzawadia Mjukuu wa Malkia wa Uingereza, Prince William, kushoto, mara baada ya kufanya ziara ya kujionea utendaji wa Bandari ya Dar es Salaam. Price William yupo nchini kwa ziara maalumu ya siku tatu.
Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko, katikati, akimkabidhi zawadi ya sanamu ya Twiga Mjukuu wa Malkia wa Uingereza, Prince William, kulia, mara baada ya kufanya ziara ya kujionea utendaji wa Bandari ya Dar es Salaam. Price William yupo nchini kwa ziara maalumu ya siku tatu. Kushoto ni Waziri wa katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi.
Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko, katikati, akitambulisha watendaji wake kwa Mjukuu wa Malkia wa Uingereza, Prince William, kushoto, mara baada ya kufanya ziara ya kujionea utendaji wa Bandari ya Dar es Salaam. Price William yupo nchini kwa ziara maalumu ya siku tatu. Nyuma ya Mhandisi Kakoko ni Waziri wa katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi.
Hussein Ndubikile,
Mwambawahabari
Mjukuu wa Malkia wa Uingereza, Prince William leo ametembelea Bandari ya Dar es Salaam kujionea shughuli za upakiaji na upakuaji wa mizigo katika bandari hiyo.
Kwa mujibu wa taarifa ya Mkuu wa Mawasiliano wa TPA,Magomba L.D, akiwa bandarini hapo sambamba na wenyeji wake, Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko pamoja na Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi.
Amesema kuwa Prince William ametembelea gati Namba 7 pamoja na kushuhudia utendaji kazi wa mikadi (Scaner) zilizopo bandarini hapo.
Magomba amebainisha kuwa Prince William yupo nchini kwa ziara maalumu ya siku tatu ambayo ilianza jana tarehe 26/09/2018.
Hivyo makala PRINCE WILIAM ATEMBELEA BANDARI YA DAR ES SALAAM.
yaani makala yote PRINCE WILIAM ATEMBELEA BANDARI YA DAR ES SALAAM. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala PRINCE WILIAM ATEMBELEA BANDARI YA DAR ES SALAAM. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/prince-wiliam-atembelea-bandari-ya-dar.html
0 Response to "PRINCE WILIAM ATEMBELEA BANDARI YA DAR ES SALAAM."
Post a Comment